Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
RIP MD TANESCOTafuta / Soma kuhusu electric conductivity na utagundua kwamba maji sio a very good conductor hivyo ni impurities chache kwenye maji ndio zinaconduct. hivyo jibu lake ni sio mbali
Tafuta / Soma kuhusu electric conductivity na utagundua kwamba maji sio a very good conductor hivyo ni impurities chache kwenye maji ndio zinaconduct. hivyo jibu lake ni sio mbali
Sawa lodilofaMkuu akili yako haina akili lakini samahani sana
Kwani we ndio izraeli mwenyeweItaishia pale magogoni na kuua mama mmoja tuu
Samaki wote wa nchi husika watapata shoti ya umeme na kufariki.Eti wakuu, kwa mfano waya wa nguzo ya umeme ikianguka na waya ukaingia baharini, umeme unaweza ukaleta madhara kwa umbali upi?? Zanzibar au mpaka Ulaya??
Wataalam wa Electricity mje kutupa elimu huku.
Amini hvyKwani we ndio izraeli mwenyewe
Sawa mtoa rohoAmini hvy