Waya wa umeme ukitumbukia baharini, umeme unafika mpaka wapi?

Waya wa umeme ukitumbukia baharini, umeme unafika mpaka wapi?

Sio Mbali kisayansi inamaanisha umbali upo?
1km, 2,3..10km or
Sababu ni bahari na bahari ni salt water na salt ions zinaconduct electricity hivyo tukifahamu variables zote plus conductivity ya salt water inayojulikana hivyo tunaweza kupata jibu ingawa hapo ni kama circuit itakuwa completed (hence electrolysis of water) au kutakuwa na short circuit hence damage itakayosababisha shoti
 
Inaategemea na mambo haya

1. Aina ya umeme, AC au DC
2. Voltage ya huo umeme
3. Conductivity

Tukianza na Aina ya umeme, Ikiwa umeme utakao wekwa kwenye bahari ni Ac basi utaenda mbali zaidi kwasababu ac ndio umeme wenye nguvu zaidi ya Dc

2Voltage ya huo umeme ikiwa kubwa basi umeme huo utaenda umbali mrefu zaidi

3. Conductivity, maji ya chumvi conductor nzuri ya umeme inayosaidi umeme upite bila vikwazo kwaiyo nayo itakuwa sababu ya umeme kwenda umbali mrefu zaidi


lakini la kuzingatia, Umeme kwenye maji hausafiri kwa one direction, umeme kwenye maji huwa unasambaa kama mizizi ya mti au ka radi itavyotoa ile miale yake. kwa maana hiyo utakuwa unasambaa kwa mapana zaidi ya kwenda kiurefu.



Elimu ya form 2 B st. kata moja wilaya temeke huko 😁
 
Inategemea waya ulioanguka kwenye bahari umebeba umeme kiasi gan.... Mfano umeme wa majumbani ndani ya mita 10 utakua na nguvu ileile ila zaidi ya hapo nguvu yake inakua ndogo hadi mita 50.

Mita 50-100 shoti yake inakua ndogo zaidi, na baada ya mita 100 unaweza kuogelea na isihisi kama kuna nguvu ya umeme ndani ya maji japo kwa vipimo maalum maji yataonekana yana chaji kwa mbaali

Maji ya bahari ni rahisi kidogo kusafirisha umeme kutokana na chumvi iliyo ndani yake... Ikiwa waya huohuo utaanguka kwenye ziwa tanganyika au Victoria, basi tegemea kutakua na mabadiliko kidogo..
 
Ikiwa nguzo ya umeme itaanguka na waya wenye umeme mwingi ukaangukia baharini:
  1. Ndiyo, umeme unaweza kuingia baharini.
    • Bahari ina chumvi nyingi, hivyo ni msafirishaji mzuri sana wa umeme (good conductor).
    • Lakini nguvu ya umeme haitasambaa baharini yote kama maji ya rangi, bali itasambaa kwa umbali fulani tu kuzunguka sehemu ilipoangukia.
  2. Umbali wa madhara:
    • Umeme unasambaa kwa mviringo (radius) kutoka chanzo (mfano waya uliodumbukia baharini).
    • Kadri unavyotoka mbali na chanzo, nguvu ya umeme inapungua kwa kasi (in physics, tunasema “inapungua kwa inverse square law”).
  3. Kwa hiyo:
    • Umbali wa madhara unaweza kuwa mita chache hadi labda mamia ya mita tu, kutegemeana na:
      • Voltage ya umeme
      • Kiasi cha maji
      • Kiwango cha chumvi
      • Mvua, upepo, na mawimbi
  4. Je, umeme unaweza kufika Zanzibar au Ulaya?
    • Hapana, kwa sababu umeme hautembei umbali huo mrefu ndani ya bahari bila njia maalum (kama waya wa chini ya bahari).
    • Kwa mfano:
      • Umbali kutoka Dar hadi Zanzibar ni ~80 km.
      • Umeme baharini hauwezi kudumu na kusafiri umbali huu bila kupotea (dissipation).
  5. Mfano wa karibu:
Tanesco wakikosea na waya una voltage kubwa ukaangukia sehemu yenye maji, wanakata umeme mara moja kwa sababu:
  • Kuna hatari kubwa kwa watu walioko karibu.
  • Lakini siyo kwamba umeme huo utaenda hadi nchi nyingine.
Kwa kifupi:
  • Ndiyo, umeme ukiingia baharini unaweza kuua samaki, watu walioko karibu, na kusababisha mshtuko mkubwa.
  • Lakini madhara hayawezi kufika Zanzibar au Ulaya—umeme hautembei baharini kwa umbali mrefu hivyo.
 
Eti wakuu, kwa mfano nguzo ya umeme ikianguka na waya ukaingia baharini, umeme unaweza ukaleta madhara kwa umbali upi?? Zanzibar au mpaka Ulaya??

Wataalam wa Electricity mje kutupa elimu huku.
Vimita vichache tu kumbuka kuwa bahari pia ni earth
 
Inaategemea na mambo haya

1. Aina ya umeme, AC au DC
2. Voltage ya huo umeme
3. Conductivity

Tukianza na Aina ya umeme, Ikiwa umeme utakao wekwa kwenye bahari ni Ac basi utaenda mbali zaidi kwasababu ac ndio umeme wenye nguvu zaidi ya Dc

2Voltage ya huo umeme ikiwa kubwa basi umeme huo utaenda umbali mrefu zaidi

3. Conductivity, maji ya chumvi conductor nzuri ya umeme inayosaidi umeme upite bila vikwazo kwaiyo nayo itakuwa sababu ya umeme kwenda umbali mrefu zaidi


lakini la kuzingatia, Umeme kwenye maji hausafiri kwa one direction, umeme kwenye maji huwa unasambaa kama mizizi ya mti au ka radi itavyotoa ile miale yake. kwa maana hiyo utakuwa unasambaa kwa mapana zaidi ya kwenda kiurefu.



Elimu ya form 2 B st. kata moja wilaya temeke huko 😁
Umesema AC ndo yenye nguvu zaid ya Dc?
 
Back
Top Bottom