Waya wa umeme ukitumbukia baharini, umeme unafika mpaka wapi?

Lakini atakuuliza mboni tukikanyaga maji kisha tukashika umeme tunarushwa na umeme? Mwambie umeme upo pia kwenye miili yetu ila umeme tunaotumia sisi sio umeme ule wa pale Kinyerezi
 
AI imesema athari zitatokea na kusambaa kwa nusu kipenyo cha mita 5 hadi 10 tu, zaidi na hapo basi hakutakuwa na athari/madhara ingawa vikiletwa vipimo vya kitaalamu vinaweza kusoma/kuonesha uwepo wa some particles
 
Kama waya wa high voltage (kama 33kV au zaidi) umeanguka baharini, umeme unaweza kuenea kwa radius ya mita kadhaa hadi labda mamia, lakini hautavuka hata kilomita moja kwa madhara makubwa.

Vitu kama upinzani wa maji, kina cha bahari, mwelekeo wa mzunguko wa umeme (AC/DC), na nguvu ya chanzo vitapunguza kasi ya usambaza
 
Yes, the ocean contains salt (Na+ and Cl- ions) that conducts current.

Kwenye kufika mpaka wapi itategemea na nguvu ya huo umeme ila theoretically utafika meter kadhaa.
 
Kuna maswali mengine mfano kama hili,unaweza ukalidharau kwa kuona aliyeuliza hamnazo,lkn liko very logical na technical haswaa!!,,hivyo yahitaka busara ya hali ya juu katika kulijibu,,kama uwezi kujibu ni bora ukae kimya,pia maswali kama haya uulizwa hata na watoto ni kwakuwa watoto hawana haibu kama watu wakubwa hasa kuanzia waliobalee,
Kwa baadhi yetu tulopitia somo la saikolojia tunaelewa hilo.,hivyo kama mwanasaikolojia wakujitegemea naomba kwa niaba yake, ajitokeze mtaalamu hamjibu aliyeuliza,na wengine tunufaike tahadhali,najua humu tunawataalamu wengi tu.,thanks.
 
Eti wakuu, kwa mfano nguzo ya umeme ikianguka (mfano Kigamboni) na waya ukaingia baharini, umeme unaweza ukaleta madhara kwa umbali upi?? Hadi Zanzibar au mpaka Ulaya??

Wataalam wa Electricity mje kutupa elimu huku.
Factors zipo kadhaa ikiwepo conductivity ya maji, lakini typical distance huwa maximum 110 meters around ulipoangukia
 
If a high-voltage current is dipped into the ocean, the current will be quickly dissipated as the ocean acts as a large, highly conductive ground. The electricity will flow through the seawater, finding the path of least resistance, and will be quickly grounded, potentially tripping circuit breakers or fuses to prevent damage or harm. While this might cause some disruption to local marine life near the point of entry, the overall effect is a localized and temporary disturbance, not a widespread electrification of the ocean.
Here's a more detailed breakdown:
High Conductivity of Seawater:
Seawater is a good conductor of electricity due to the presence of dissolved salts and ions, making it a more effective conductor than pure water.
Immediate Grounding:
The ocean acts as a large, highly conductive ground, providing a path for the electricity to flow away from the source, preventing it from building up and potentially becoming dangerous.
Circuit Breakers and Fuses:
The sudden influx of current into the ocean will likely trigger circuit breakers or fuses designed to protect the electrical system, cutting off the power source before it can cause damage or harm.
Localized Effects:
The primary impact of the current in the ocean will be localized, potentially causing temporary disruption or harm to nearby marine life, such as fish.
Dissipation and Return to Normal:
The current will quickly dissipate as it flows through the ocean and is grounded, returning the system to its normal state once the source of the current is removed or corrected.
In essence, the ocean's natural conductivity and grounding properties make it a relatively safe environment for dealing with accidental exposure to high-voltage current, as the electricity is quickly diverted and dissipated.
What happen when a high voltage wire is dropped in a sea? - Quora
14 Feb 2016 — Ocean contains salts which are good conductor of electricity. so, it will conduct current from one terminal to other. ... To protect the electrical l...

Quora
What happend if a 1000 or 10000 volt current wire cut and falls in to ...
24 Jun 2016 — * Suppose you made a 20 meter thick copper rod of 500 meters length and plunged it into the ocean, with a flotation device and supplied gigawatts of...

Quora
What will happen if I put a live wire into the ocean? Will it conduct ...
3 Apr 2019 — But it does not mean that it does not conduct. ... Let us say resistance of plastic is 500000 ohm which can be a practical value. Now, let's calculate...

Quora
Generative AI is experimental. Learn more
High-voltage electricity in water creates a localized danger zone, with risks decreasing rapidly with distance. Saltwater, due to its high conductivity, spreads electricity further than freshwater.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…