bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
World citizen good morning,
Kuna ugeni mkubwa wa watalili kutoka Israel umeingia bongo land ni taarifa nimepata hivi karibuni, nadhani wengi watakuwa wanakerwa na sherehe ya Christmas huko kwao wakaona isiwe tabu ngoja tuwapishe mkimaliza tutarudi, kutokana na Watanzania wengi kutokujua misimamo ya kiimani kwa wayahudi naona inabidi nitoe muongozo mapema kabda hatujawakera wageni wetu, heavy weight in world politics.
Mosi: Kutowapa Merry Christmas
Kwa namna yote ile awe ni mhudumu, kiongozi, mpita njia au chochote kinachoongea kifanyiwe udhibiti kisitamke tamko hilo Merry Christmas kwa wageni wetu kwani wageni wetu wana story very complicated na mhusika mkuu wa sherehe hii ya Christmas sasa ni jambo la mbolea kutokuwakata steam ingali ndo mara ya kwanza tu wamekuja Tanzania. Tukifanya vizuri this time basi wayahudi wataongezeka mara dufu kila Christmas.
Mbili: Kuwapa mafunzo ya dini
Kuna manabii zetu hawa nadhani wasirusiwe kuwasogelea kabisa hawa wageni wetu maana hawakawii kuanza kuhubiri na kutaka kufanya miujiza, au kutoa mafunzo ya dini. Tutadharaulika sana wakirudi kwao na kuwaelezea wenzao jinsi gani tumelewa na hadithi za gentile na kuziamini kwa nguvu zote.
Tatu: Kuwashauri juu ya Palestina
Wakae mbali sana na hii maada maana ni nzito sana sio mtu emetizama taarifa mbili tatu za kuhusu mzozo huo unajitia unaweza kuwa na solutions, wakati maji tu kwenye nchi yako hamna solutions.
Hata hivyo napenda kujazia ya kwamba nguvu, sifa na weledi kedekede wanaopewa wageni hawa sio kwa sababu ni wateule wa Mungu apana bali ni kutokana na kukutana na vikwazo vingi sana hapa duniani ambapo naweza sema hamna jamii nyingine imepitia, kutokana na vikwazo hivyo vya kiuchumi, kiutamaduni, wana hawa wamekuwa wakipikwa kwenye tanuri kama mwamba wa dhahabu sasa wanapochiririka kama dhahabu pure wanadamu tuliowapa vikwazo twabaki tunashangaa uweledi wao.
Pia serikali ikae makini sana, maana tunaweza amka siku tukashangaa Mlima Kilimanjaro haupo.