Wayahudi wakwepa kero kwao msimu wa Christmas waja Tanzania

Wayahudi wakwepa kero kwao msimu wa Christmas waja Tanzania

Morning
Leo ndo Christmas nakumbushia tuu mkiwaona msiwape merry Christmas, kama we n meneja hotel waliofikia wale wahudumu wakariri lugha uwatoe tuu eeehe wasije kosa cha kusema wakaishia kutoa merry Christmas
 
Actually sio swala la dini,ni suala la ardhi,Kuna raia wait Israel waislamu wengi tu,Kuna makamanda jeshi la Israel ni waislamu pia,
Israel Ina uhusiano wa karibu na nchi za kiarabu kasoro Syria,Iraq,Iran,Lebanon kwa nchi za jirani.
Nchi Kama Saud,Oman,qatar,misri,Jordan,Bahrain etc wanaushirikiano na Israel hata Kama hauko rasmi.
Misri,Jordan wanna mkataba wa
Hao waislam wa kiizrael wako kikazi mkuu sio kama wewe unabadili dini hata huelewi kwann unabadili...hao waliomo kwenye uislamu ndo wanaofanya kazingumu ili kuhakikisha uislam hauisumbui sumbui izrael

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahaha moja ya watu walioathirika sana na historia ya dunia hii ni sisi WaAfrica.. Baya zaidi hatujipi hata muda wa kusoma na kuielewa dunia mwisho wa siku tunazidisha athari kwa vizazi na vizazi...
 
Back
Top Bottom