Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mkuu hii ni ngumu sana kwa mkristo wa Tanzania kukuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Israel sio nchi ya kikristo na wala hawasherekei sikukuu ya Christmas. Kesho kwao ni siku ya kawaida tu watu wanaenda kazini, watoto wanaenda shule Kama kawa. Ila kuna baadhi ya maeneo ambayo ina idadi kubwa ya waarabu. Huko ndo unaweza kukuta sherehe za Christmas kwasababu baadhi ya waarabu ni wakristo japo wachache sana. Kiufupi ISRAEL HAKUNA KERO YA CHRISTMAS
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app