Wayahudi wakwepa kero kwao msimu wa Christmas waja Tanzania

Mkuu hii ni ngumu sana kwa mkristo wa Tanzania kukuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa dish lazima limeyumba
 
Kwahiyo Christmas ni kero Dada?

Hebu tueleze ni kero kwa vipi?

Wakristo wanapiga madufu mitaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana sana watafurahishwa na Jinsi nyumbu walivyojaza bendera za Taifa lao majumbani kwao na Huku wakiamini Israel ndio taifa la mungu na mwenye kulibariki nae atabarikiwa Watashangaa sana hao jamaa ila kuhusu manabii hapo kuna ambao watajitoa tu ufahamu wakawalambe miguu hao wanaoitwa watoto wa Mungu na Wazee wa fursa humo humo nao wataanza kupiga minada ya vitu vya waisrael na nyumbu nao watavinunua kwa ghali sana
 
Kwahiyo Christmas in kero Dada?

Hebu tueleze ni kero kwa vipi?

Wakristo wanapiga madufu mitaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Christmas inawakera koz wao ndio walikuwepo kipindi kile yesu anasulubiwa wanasema walichoona na watu hawataki kuwasikiliza, in short kisa cha yesu kufufuka ndicho kimepelekea wao kuchukiwa sana na mataifa ambayo yana ukristro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…