Wayahudi wakwepa kero kwao msimu wa Christmas waja Tanzania

Morning
Leo ndo Christmas nakumbushia tuu mkiwaona msiwape merry Christmas, kama we n meneja hotel waliofikia wale wahudumu wakariri lugha uwatoe tuu eeehe wasije kosa cha kusema wakaishia kutoa merry Christmas
 
Hao waislam wa kiizrael wako kikazi mkuu sio kama wewe unabadili dini hata huelewi kwann unabadili...hao waliomo kwenye uislamu ndo wanaofanya kazingumu ili kuhakikisha uislam hauisumbui sumbui izrael

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahaha moja ya watu walioathirika sana na historia ya dunia hii ni sisi WaAfrica.. Baya zaidi hatujipi hata muda wa kusoma na kuielewa dunia mwisho wa siku tunazidisha athari kwa vizazi na vizazi...
 
Sasa tafanyaje mkuu na sisi ni watu wakupokea tu..
hahahahaha moja ya watu walioathirika sana na historia ya dunia hii ni sisi WaAfrica.. Baya zaidi hatujipi hata muda wa kusoma na kuielewa dunia mwisho wa siku tunazidisha athari kwa vizazi na vizazi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…