Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Ila Israel balaa, hawakukosi, wanaua kimkakati sanaBaada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
Wakirudi watakuta magofuwameenda Tehran kumalizana na Ayatola
We zako wana akili wanasehemu za kujificha sio nyie majeneral wanauwawa kama vibaka tu, kwani hujui kazi ya handaki kwenye vita mjinga mmoja weweBaada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
Unajifariji? Safari hii mpaka mnyooke!!!. Endelea kujitoa ufahamu na kujidanganya kuwa Netanyahu kakimbia wewe endelea tu na Propaganda za kijinga lakini ukweli upo palepale Israel imeipiga IRAN kipigo cha mbwa-koko!!!Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
hata mimi nashangaaBaada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
Sasa mbona Netanyahu kakimbiza msambwanda UigirikiWe zako wana akili wanasehemu za kujificha sio nyie majeneral wanauwawa kama vibaka tu, kwani hujui kazi ya handaki kwenye vita mjinga mmoja wewe
USSR
hana lolote huyo kibabu kazi yake ni kutoa matamko tuu
- Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei has warned Israel that it “must expect severe punishment” following the “crime” of attacking Iran and killing several top-level military commanders and six nuclear scientists.
Iran inatarget nyingi za ki destroy Israel.Kwa kichapo anachopata kubwa la maadui (Iran) hana hata uwezo wa kurusha jiwe kwa israel
Unajifariji? Safari hii mpaka mnyooke!!!. Endelea kujitoa ufahamu na kujidanganya kuwa Netanyahu kakimbia wewe endelea tu na Propaganda za kijinga lakini ukweli upo palepale Israel imeipiga IRAN kipigo cha mbwa-koko!!!
Ni wewe umesema.Kwa kichapo anachopata kubwa la maadui (Iran) hana hata uwezo wa kurusha jiwe kwa israel