Wayahudi wamekimbilia wapi miji yote mieupe hamna hata mbwa barabarani

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
 
Attachments

  • IMG_20250613_132254.jpg
    157.6 KB · Views: 30
Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
  • Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei has warned Israel that it “must expect severe punishment” following the “crime” of attacking Iran and killing several top-level military commanders and six nuclear scientists.
 
if iran unveils there missile base every week it will take them 2 years to reveal them all, plenty of ammo
 
Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
We zako wana akili wanasehemu za kujificha sio nyie majeneral wanauwawa kama vibaka tu, kwani hujui kazi ya handaki kwenye vita mjinga mmoja wewe

USSR
 
Unajifariji? Safari hii mpaka mnyooke!!!. Endelea kujitoa ufahamu na kujidanganya kuwa Netanyahu kakimbia wewe endelea tu na Propaganda za kijinga lakini ukweli upo palepale Israel imeipiga IRAN kipigo cha mbwa-koko!!!
 
Sasa mbona Netanyahu kakimbiza msambwanda Uigiriki
 
hana lolote huyo kibabu kazi yake ni kutoa matamko tuu
 
Kwa kichapo anachopata kubwa la maadui (Iran) hana hata uwezo wa kurusha jiwe kwa israel
 
Iran inatarget nyingi za ki destroy Israel.

Iran has many choices for retaliation ☢️
 
Attachments

  • IMG_20250613_140238.jpg
    19.5 KB · Views: 27
Unajifariji? Safari hii mpaka mnyooke!!!. Endelea kujitoa ufahamu na kujidanganya kuwa Netanyahu kakimbia wewe endelea tu na Propaganda za kijinga lakini ukweli upo palepale Israel imeipiga IRAN kipigo cha mbwa-koko!!!
 
Attachments

  • IMG-20250613-WA0041.jpg
    59.9 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…