Wayahudi wamempiga sana Mwarabu mpaka Hamas wametema Bungo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Myahudi Anakupiga wewe utawatoa ulikowaweka. Mbona ni rahisi. Umewahi mwibia mtu kitu halafu akawa anakutandika tu we mwenyewe unamwambia nlificha kwenye ...? Ndo alichofanya myahudi kwa kamas.

Utatoa hutoi? Sitoi... Kuuuh.... Utatoa hutoi.... Sitoi... Kuuuh. Utatoa hutoi. Natoa... Haya.... Kaa mkao wa kutoa. Hamas... Haya....

Mimi nilikuwa na bado nawashabikia Hamas. Nlikuwa nasema ni mtego tu Mayahudi wakiingia ndani watapata cha mtema kuni... Na wenzangu akina FaizaFoxy ,Sexless et al tulikuwa tunasema hawa Mayahudi wanategwa tu kuingia Gaza. Baadaye Maarabu yake yageuze kibao. Yawazunguke.... Kumbe hamna lolote. aliyekuwa anatupa hizo taarifa alikuwa muongo kama kawaida yake.

Sasa tumeona kuwa hali ni mbaya.... Kule Gaza... Hakukaliki tena. Hamas wameona basi yaishe.... Mambo yasiwe mengi. Sisi huku lakini haturudi nyuma tutaendelea kukomaa mimi ni Hamas wa kwa Mtogole na wenzangu mmoja wa Manzese mwingine wa Mabibo maji Matitu.

Hatukubali kushindwa... Na hao mateka sisi hatuwaachii... Kwanza kwa nini Israel haijagundua walipo? Si ilipaswa wagundue? Mbona wameendelea tu kutembeza kipigo kwetu na si kugundua walipo? Wametugonga sana. Wameua hadi kuku na bata wetu. Acha watoto ambao tuliwatumia kama kinga.
 
Leo mujahidina wataanza kula apple punch na maandazi ya azam msaada si umeingia gaza alafu Hamas wakaomba katika msaada utakaoanza kuingia leo gaza wasisahau kuwapelekea raba za adidas na track zake
 
Mleta Uzi una mental case wahi hospital
Kwenye vita kila upande unapata hasara. Hata Israel wanatumia pesa nyingi sana. Nao wanaomba (siri)kuwe na njia ya suluhu japo halitangazwi.
Vita huathiri uchumi. Israel inafadhiliwa kijeshi na USA.
 
Myahudi Anakupiga wewe utawatoa ulikowaweka. Mbona ni rahisi. Umewahi mwibia mtu kitu halafu akawa anakutandika tu we mwenyewe unamwambia nlificha kwenye ...? Ndo alichofanya myahudi kwa kamas.

Utatoa hutoi? Sitoi... Kuuuh.... Utatoa hutoi.... Sitoi... Kuuuh. Utatoa hutoi. Natoa... Haya.... Kaa mkao wa kutoa. Hamas... Haya....

Mimi nilikuwa na bado nawashabikia Hamas. Nlikuwa nasema ni mtego tu Mayahudi wakiingia ndani watapata cha mtema kuni... Na wenzangu akina FaizaFoxy ,Sexless et al tulikuwa tunasema hawa Mayahudi wanategwa tu kuingia Gaza. Baadaye Maarabu yake yageuze kibao. Yawazunguke.... Kumbe hamna lolote. aliyekuwa anatupa hizo taarifa alikuwa muongo kama kawaida yake.

Sasa tumeona kuwa hali ni mbaya.... Kule Gaza... Hakukaliki tena. Hamas wameona basi yaishe.... Mambo yasiwe mengi. Sisi huku lakini haturudi nyuma tutaendelea kukomaa mimi ni Hamas wa kwa Mtogole na wenzangu mmoja wa Manzese mwingine wa Mabibo maji Matitu.

Hatukubali kushindwa... Na hao mateka sisi hatuwaachii... Kwanza kwa nini Israel haijagundua walipo? Si ilipaswa wagundue? Mbona wameendelea tu kutembeza kipigo kwetu na si kugundua walipo? Wametugonga sana. Wameua hadi kuku na bata wetu. Acha watoto ambao tuliwatumia kama kinga.
Israel bomb those savages at will
 
Back
Top Bottom