Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu.
Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija.
Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi.
KINACHOPIGANIWA SIO HAKI WALA ARDHI WALA UKOMBOZI ILA NI ITIKADI, ITIKADI ZA KITAPELI.