Wayahudi wazidi kuishangaza dunia, watengeneza gari linalotumia maji badala ya mafuta

Waisrael wana makusudi sana, Wanataka Waarabu waishije?
Mkuu sio tu waarabu uchumi wa Marekani, Russia, Uingereza, Canada, India,China,Nigeria, Brazil, Mexico, Venezuela, Indonesia, Australia, Norway, wanategemea nishati ya mafuta kiuchumi.Lakini nadhani miaka zaidi ya 50 ijayo kwa kiasi kikubwa dunia itaendelea kutumia mafuta.Sema tu kuna tafiti nyingi zipo maabara za kuimarisha au kuboresha nishati ya mafuta isiwe adui wa mazingira.
 
Utakua Mtoto wa 2000 mbona magari ya maji yalishatengenezwa toka miaka ya nyuma pia hata
Magari ya kutumia makaa ya mawe yalishatengenezwa mda sana
 
.
 
Mfumo huu si mpya ulianza miaka mingi isipokuwa kigugumizi kinatokana na usalama wa huo mfumo kama ulivyositishwa kwenye ndege.
 
Kama ndivyo ,jiandae kusikia marekani kanunua teknolojia
 
Sasahivi magari yanayotumia gesi na umeme ni mengi.

Marekani kwa asilimia kubwa wanategemea kuuza Teknolojia zaidi duniani Nchi zingine hapo zinategemea kuuza Silaha kama Russia, kina Nigeria wanategemea Kilimo, zingine Fishing, Mining n.k

Mwarabu hana Fishing, Tourism, Mining, Agriculture...na alishagundua hilo ndio maana akaamua kuinvest kwenye Transportation kama Air transport, Marine...ndio unamwona kwenye Mabandari, Emirates n.k

Ukiondoa mashine zinazotumia Petrol na Diesel unamuumiza sana Mwarabu na Ugaidi utakuwa kwa kasi
 
Na ndiyo maana wanasomba wanyama kutoka Africa ili walau kuwe na utalii kwao maana mfumo unaokuja wameshausoma
 
Na ndiyo maana wanasomba wanyama kutoka Africa ili walau kuwe na utalii kwao maana mfumo unaokuja wameshausoma
Kule yule Engineer Muingereza wakati wanajenga Burj khalifa alihojiwa akawashauri Waarabu kuwa Mafuta hayapo milele na hayapo miaka kadhaa ijayo, wao wanainvest kwenye kujenga majengo Marefu na mazuri ambayo hayaingizi chochote

Wakashtuka wakaanza kuinvest kwenye USAFIRISHAJI dunia nzima, ndio kuna EMIRATES, Ports Company n.k...sasahv wanadeal na Bandari zaidi dunia nzima
 
Hawajaanza wao sema wao wameshikilia media za dunia sasa wanadanganya wameanza wao.

Waongo sana hao.

Hio teknolojia sio ya leo, ya kabla ya mafuta kuanza kutumika.
 
Mwarabu yeye anavuga midevu tuu , kuoa wake wengi na kuoa vitoto hakuna chochote anachoweza KUGUNDUA
 
Wakati wenzetu wanagundua hayo, sisi akili zetu tumeelekeza kwenye kufungua makanisa mapya!
 
inawezekana ila hii taarifa ni ya uongo deep state ya dunia hawawezi ruhusu kitu kama hii maisha hata elon musk alishasema alikatazwa kuenda approach hiyo na hata sio hao ndo wakwanza watu wengi walishajaribu ikawezekana shida ni jinsi capitalist wa dunia wanaona
 
Kwenye hili maua apewe yule mkenya ambaye walikuja kumuua.. Huyo ndio mwenye original version
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…