Wayahudi wazidi kuishangaza dunia, watengeneza gari linalotumia maji badala ya mafuta

Tulisikia kuna gari za umeme na za sola na za gesi.
Ziko wapi ?
 
Mahubiri ya mfalme Zumaridi
 
Picha ya hilo gari la majaribio ipo wapi,wengine sie hatutaki Somjo
 
Majimoto alishawahi kuisemea hii miaka 6 iliyopita kama moja ya yeknolojia ya kuzimu iliyokuwa iko njiani
 
Wameficha picha yake
 
Nipende kumshukuru kwa kuiwezesha Israel kutengeneza gari hilo😎
 
Hii habari lazima iwachukize wale warabu weusi wa afrika.
 
Tulisema humu nishati mbadala watu wameanza kuhangaika kutafuta tangu mwaka 1860 huko hadi leo diesel na petrol zimeonyesha ufanisi mkubwa ,haya hiyo hapo treni ya ujerumani wamehangaika na hydrogen wamechemka wamerudi kwenye diesel
 

Attachments

  • Screenshot_20240910-231832_Chrome.jpg
    491.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240910-231850_Chrome.jpg
    348 KB · Views: 4
Hii habari lazima iwachukize wale warabu weusi wa afrika.
ISrael hajawahi kutengeneza gari na hiyo formula wenzake japan wameshatengeneza gari linatumia hydrogen kitambo na germany kuna hadi treni inatumia hydrogen ila zote zimefeli wamerudi kwenye diesel na petrol kwahiyo tulia acha kuweweseka kwa porojo
 
ISrael hajawahi kutengeneza gari na hiyo formula wenzake japan wameshatengeneza gari linatumia hydrogen kitambo na germany kuna hadi treni inatumia hydrogen ila zote zimefeli wamerudi kwenye diesel na petrol kwahiyo tulia acha kuweweseka kwa porojo
Hazijafeli kwa ubaya... One of The reasons ni kwamba hydrogen to fuel is still a very expensive process
 
Israel ni wezi. Wameiba ardhi ya Palestina na kufanya mauaji ya kimbari. Mahakama za kimataifa zimewaona wana hatia na kutaka viongozi wao wakamatwe
 
Haya wazee wa taifa teule ,kuna ujumbe wenu huku, mambo yameshaharibika , mungu mmoja aendelee kuabudiwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240916-084531_Chrome.jpg
    410.9 KB · Views: 3
Mafuta ni aina ya maji kwani vyote hupatikana ardhini.

Waongeze tafiti tu,vitu vingi ambavyo mafuta hufanya basi na maji yanaweza kufanya kazi hiyoo.

Ni ishu ya tafiti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…