Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome bibilia vzrHili si Taifa teule jamani walishabarikiwa!
Kampuni ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.
Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.
Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo. Wataalam wa masuala ya nishati wanasema kuwa ugunduzi huu wa nishati ya maji katika kuendesha magari, unaweza kuwa ni safari ya kuiaga petrol na nishati nyingine zenye madhara kwa mazingira. Bado haijajulikana gari hili linaweza kuingia sokoni baada ya muda gani. Kwa sasa bado lipo kwenye majaribio mbalimbali.
Ugunduzi wa nishati mbadala litakuwa ni janga kubwa la kiuchumi kwa mataifa hasa ya Kiarabu, yale ambayo uchumi wake kwa kiasi kikubwa unategemea mafuta. Hapa myahudi atakuwa amefanikiwa kummaliza kabisa adui yake mkuu Iran, ambaye uchumi wake, kwa zaidi ya 80% unategemea mauzo ya mafuta pekee yake.
Ugunduzi huu si wa ajabu kutoka kwa hawa watu, maana kuna gunduzi msululu za sayansi na tekinolojia, zinazotumika Dunia nzima, zilizofanywa na hawa watu. Ingependeza siku moja wagundue silaha inayoua gaidi pekee, ikiwaacha watoto na watu wengine wote wasio na hatia. Maana vifo vya watoto wadogo pale Palestina, vinaumiza na kusikitisha sana.
Soma Pia: Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?
The water-powered car technology developed by the Israeli company Electriq Global utilizes a unique nano-technology that is able to split water into hydrogen and oxygen through a specialized membrane.
This membrane acts like an electrolytic cell, using electricity to break down the water molecules into their composite elements. The hydrogen produced from the reaction is then fed into the vehicle’s fuel cell.
In the fuel cell, the hydrogen combines with oxygen from the air to generate an electric current. This electricity powers the car’s electric motor, propelling the vehicle. Unlike traditional combustion engines, the only byproduct from this reaction is water, meaning the car emits only clean water vapor rather than any harmful emissions.
The test car achieved speeds over 70 mph and required no engine modifications besides connecting to an external water tank and fuel converter. Further road tests are planned using a Suzuki Vitara SUV retrofitted with a larger fuel converter and water tank to extend its range.
Electriq’s goal is to demonstrate over 600 miles per tank, comparable to traditional gasoline vehicles. So far, the technology has shown excellent results in normal driving conditions.
The truth is that a water car could be the end of petrol and all polluting fuels. We have known for years that hydrogen would play a very important role in the decarbonisation of mobility, but not to this extent. Will we soon see it on our roads? Let’s hope so, given its advantages.
Hata kwenye meli , wamejaribu kudesign meli za kutumia hydrogen kama source ya power ,Ila imekuwa mtihani bado , kuna vitu hasa safety ya milipuko ya moto na efficiency no tatizo , kumbuka kila mtambo au kifaa kinakuwa designed Kwa kuangalia ratio za efficiencyMfumo huu si mpya ulianza miaka mingi isipokuwa kigugumizi kinatokana na usalama wa huo mfumo kama ulivyositishwa kwenye ndege.
Ni kweli kabisa ulisemaloYawezekana ila kuna Mahojiano nilifuatilia vizuri ya British Engineer nafikiri ndiye aliyeidesign Burj Khalifa, akasema Dubai, Qatar, Saudi Arabia na nchi zingine za Kiarabu zinawekeza sana kwenye majengo mazuri nchini kwao lakini hawana guarantee ya Uchumi wao kwa miaka 50 mpaka 100 ijayo kwasababu Mafuta yakiisha hawana tegemeo lingine
From there ndio waarabu wanawekeza kwenye Transportation kwasababu ndio biashara ambayo itakuwepo milele...ila wanapata stiff challenge kwa Chinese
Acha upumbavu wewe ,China na Marekani ndio nchi zinazoongoza kwa vumbuzi / innovations za technology duniani mpaka sasa na huko hizo vumbuzi zinafanywa na wachina wenyewe na wahindi pale Marekani ,wayahudi wako feki hao wamevumbua utalii wa ushoga na kusagana tu kule Tel Aviv labdaInasadikika kule Israel kuna baadhi ya watu ni malaika waliovaa mwili ndo mana kuna Gunduzi ambazo lazima ujiulize kwamba uyu sio binadamu wa kawaida.
Kwa hiyo wewe unaamini tutakuwa na hali hiyo hiyo milele; na kwamba tuikubali hali kama ilivyo, au unasemaje mkuu wangu!Huo umeme wa kuwasha taa ya kuku unatushinda ........ndio huo uwe wa kuchaji treni ..............mbona mtakaa kwenye chaji mwezi..........
Inasikitisha.Mwendokasi ni shamba la bibi la JK, kule pesa zinapigwa haswa
Nchi imeoza balaaInasikitisha.
Duh!Tech ya kizamani sana hio.
Hydrogen bomb ni zaidi ya nuclear kwa nguvu yake.
Waache watengeneze hydrogen bombs, hivi mlishatafakari gari linalotumia hydrogen lipate ajali sema ni bus la abiria, hatoki mtu.
Hizo ni tech za maabara, gas na mafuta bado havikwepeki.
Waisraeli wmetapakaa dunia nzima, ndio wamiliki wakubwa wa makampuni ya teknolojia duniani, jiongezeSio israel tu nchi nyingi zimejaribu kutengeneza mashine kwa kutumia nishati mbadala lakini gari za diesel na petrol zimeendelea kuleta ufanisi mkubwa sana kwa watumiaji ,na ukiangalia israel hana historia ya kufanya vizuri kwenye global market bidhaa zake mara nyingi zinashindwa kushindana sokoni, tofauti na wenzake wa asia, europe na marekani
Hadi China na Urusi na India?Waisraeli wmetapakaa dunia nzima, ndio wamiliki wakubwa wa makampuni ya teknolojia duniani, jiongeze
Nani alikudanganya kwamba mataifa mbalimbali ulimwenguni yanashindwa kutengeneza magari ya kutumia maji?Kampuni ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.
Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.
Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo. Wataalam wa masuala ya nishati wanasema kuwa ugunduzi huu wa nishati ya maji katika kuendesha magari, unaweza kuwa ni safari ya kuiaga petrol na nishati nyingine zenye madhara kwa mazingira. Bado haijajulikana gari hili linaweza kuingia sokoni baada ya muda gani. Kwa sasa bado lipo kwenye majaribio mbalimbali.
Ugunduzi wa nishati mbadala litakuwa ni janga kubwa la kiuchumi kwa mataifa hasa ya Kiarabu, yale ambayo uchumi wake kwa kiasi kikubwa unategemea mafuta. Hapa myahudi atakuwa amefanikiwa kummaliza kabisa adui yake mkuu Iran, ambaye uchumi wake, kwa zaidi ya 80% unategemea mauzo ya mafuta pekee yake.
Ugunduzi huu si wa ajabu kutoka kwa hawa watu, maana kuna gunduzi msululu za sayansi na tekinolojia, zinazotumika Dunia nzima, zilizofanywa na hawa watu. Ingependeza siku moja wagundue silaha inayoua gaidi pekee, ikiwaacha watoto na watu wengine wote wasio na hatia. Maana vifo vya watoto wadogo pale Palestina, vinaumiza na kusikitisha sana.
Soma Pia: Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?
The water-powered car technology developed by the Israeli company Electriq Global utilizes a unique nano-technology that is able to split water into hydrogen and oxygen through a specialized membrane.
This membrane acts like an electrolytic cell, using electricity to break down the water molecules into their composite elements. The hydrogen produced from the reaction is then fed into the vehicle’s fuel cell.
In the fuel cell, the hydrogen combines with oxygen from the air to generate an electric current. This electricity powers the car’s electric motor, propelling the vehicle. Unlike traditional combustion engines, the only byproduct from this reaction is water, meaning the car emits only clean water vapor rather than any harmful emissions.
The test car achieved speeds over 70 mph and required no engine modifications besides connecting to an external water tank and fuel converter. Further road tests are planned using a Suzuki Vitara SUV retrofitted with a larger fuel converter and water tank to extend its range.
Electriq’s goal is to demonstrate over 600 miles per tank, comparable to traditional gasoline vehicles. So far, the technology has shown excellent results in normal driving conditions.
The truth is that a water car could be the end of petrol and all polluting fuels. We have known for years that hydrogen would play a very important role in the decarbonisation of mobility, but not to this extent. Will we soon see it on our roads? Let’s hope so, given its advantages.
Brands za israel hazijawahi kufaanikiwa embu achana na ulichokaririshwa kwa mchungaji wakoWaisraeli wmetapakaa dunia nzima, ndio wamiliki wakubwa wa makampuni ya teknolojia duniani, jiongeze
Hii ni habari mbaya kwa waarbu wa TandaleWaisrael wana makusudi sana, sasa wanataka Waarabu waishije?