Wayahudi wazidi kuishangaza dunia, watengeneza gari linalotumia maji badala ya mafuta

If it emits water,why does it need refilling again,why not reuse the emitted water? And then we can have a perpetual machine
 
Hii habari ni ya zaidi ya miaka 5 iliyo pita.

Hapana. Utafiti umeanza kipindi kirefu ila gari linalotumia maji lilfanya safari yake ya kwanza wiki hii.
 
Kama ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.

Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.

Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo. unabadilisha maji. Wataalam wa masuala ya nishati wanasema kuwa ugunduzi huu wa nishati ya maji katika kuendesha magari, unaweza kuwa ni safari ya kuoaga petrol na nishati nyingine zenye madhara kwa mazingira. Bado haijajulikana gari hili linaweza kuingia sokoni baada ya muda gani. Kwa sasa bado lipo kwe ye majaribio mbalimbali.

Ugunduzi wa nishati mbadala litakwluwa ni janga kubwa kwa mataifa hasa ya Kiarabu, yale ambayo uchumi wake kwa kiasi kikubwa unategemea mafuta. Bapa myahudi atakuwa amefanikuwa kummaliza kabisa adui yake mkuu Iran, ambaye uchumi wake, kwa zaidi ya 80% unategemea mauzo ya mafuta pekee yake.

Ugunduzi huu si wa ajabu kutoka kwa hawa watu, maana kuna gunduzi msululu za sayansi na tekinolojia, zinazotumika Dunia nzima, zilizofanywa na hawa watu. Ingependeza siku moja wagundue silaha inayoua gaidi pekee, ikiwaacha watoto na watu wengine wote wasio na hatia. Maana vifo vya watoto wadogo pale Palestina, vinaumiza na kusikitisha sana.

Soma Pia: Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?

The water-powered car technology developed by the Israeli company Electriq Global utilizes a unique nano-technology that is able to split water into hydrogen and oxygen through a specialized membrane.

This membrane acts like an electrolytic cell, using electricity to break down the water molecules into their composite elements. The hydrogen produced from the reaction is then fed into the vehicle’s fuel cell.

In the fuel cell, the hydrogen combines with oxygen from the air to generate an electric current. This electricity powers the car’s electric motor, propelling the vehicle. Unlike traditional combustion engines, the only byproduct from this reaction is water, meaning the car emits only clean water vapor rather than any harmful emissions.

The test car achieved speeds over 70 mph and required no engine modifications besides connecting to an external water tank and fuel converter. Further road tests are planned using a Suzuki Vitara SUV retrofitted with a larger fuel converter and water tank to extend its range.

Electriq’s goal is to demonstrate over 600 miles per tank, comparable to traditional gasoline vehicles. So far, the technology has shown excellent results in normal driving conditions.

The truth is that a water car could be the end of petrol and all polluting fuels. We have known for years that hydrogen would play a very important role in the decarbonisation of mobility, but not to this extent. Will we soon see it on our roads? Let’s hope so, given its advantages.
Kama hamna picha huu ni UMBEA
 
1725709860285.png

Picha ya hilo gari?
 
Hapana. Utafiti umeanza kipindi kirefu ila gari linalotumia maji lilfanya safari yake ya kwanza wiki hii.
Mkuu hii teknolojia ipo kwa zaidi ya miaka 40 iliyo pita sema ilikataliwa kuidhinishwa kwa sababu ya kunusuru usalama wa maji duniani.
Muwage mnapunguza ujinga.
 
Hii sikuipata, niliwahi kuambiwa kuna Mjapan nae alitengeneza ila UN iligoma kuipitisha kwny matumizi wakihofia kuwa Ugaidi utaongezeka coz Waarabu wa nchi zinazotegemea mafuta hasa Petrol na Diesel kqa uchumi wao wote watakosa ajira na maisha magumu yatachochea Ugaidi duniani...ila ni kama 2010 huko
Mkuu kwa hilo sio kweli hebu angalia Israel ameuwa masikini zaidi 40,000 na ni mkakati wa kuchukua ardhi yote ya Palestina
Kuhusu mafuta wao pia sio wajinga wameisha tahadharishwa zamani sana kuhusu hili la mafuta
Ila biashara ya mafuta haitakwisha labda kwa magari lakini viwanda vitaendelea kutumia mafuta na hata meli
Sio waarabu wote wana mafuta na hao wenye mafuta kama Qatari wameisha nunua nusu ya utajiri wa london

UAE wako vizuri bila mafuta na Saudia wana dhahabu nyingi sana

Kama ni njaa inakupelekea kuwa gaidi basi Africa tungeuana
 
Yawezekana ila kuna Mahojiano nilifuatilia vizuri ya British Engineer nafikiri ndiye aliyeidesign Burj Khalifa, akasema Dubai, Qatar, Saudi Arabia na nchi zingine za Kiarabu zinawekeza sana kwenye majengo mazuri nchini kwao lakini hawana guarantee ya Uchumi wao kwa miaka 50 mpaka 100 ijayo kwasababu Mafuta yakiisha hawana tegemeo lingine

From there ndio waarabu wanawekeza kwenye Transportation kwasababu ndio biashara ambayo itakuwepo milele...ila wanapata stiff challenge kwa Chinese
 
Wakati nakuwa niliwahi sikia Kuna mtu aligundua injini ya maji wakaamua kumzima, najua siyo jipya ila athari za kimazingira zimepush inventions za aina nyingi za injini ziwe wazi,naona Kila mwezi Kuna injini mpya imegunduliwa
 
Sasa hiyo teknolijia ikishika kasi na kusambaa haka ka ist kangu si wataniua kwa presha?
 
Atukuzwe Mungu Juu Mbinguni 🌹
Sasa huoni tatizo la kumalizika hewa ya oxygen ambayo ni asilimia 3? tu ya hewa ulimwenguni? Hydrogen ni nyingi asilimia 70? sasa tatizo ni hiyo hewa safi. Je ikishatumika inarudije? Hapa nafikiria dunia itakapokuwa na watu biloni 50 na kuendelea.ambayo itafikuwa si miaka mingi. Vitukuu wanaweza wakaona udadi hiyo.
 
Wapigwe ban haraka mno.
 
Kampuni ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.

Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.

Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo. Wataalam wa masuala ya nishati wanasema kuwa ugunduzi huu wa nishati ya maji katika kuendesha magari, unaweza kuwa ni safari ya kuiaga petrol na nishati nyingine zenye madhara kwa mazingira. Bado haijajulikana gari hili linaweza kuingia sokoni baada ya muda gani. Kwa sasa bado lipo kwenye majaribio mbalimbali.

Ugunduzi wa nishati mbadala litakuwa ni janga kubwa la kiuchumi kwa mataifa hasa ya Kiarabu, yale ambayo uchumi wake kwa kiasi kikubwa unategemea mafuta. Hapa myahudi atakuwa amefanikiwa kummaliza kabisa adui yake mkuu Iran, ambaye uchumi wake, kwa zaidi ya 80% unategemea mauzo ya mafuta pekee yake.

Ugunduzi huu si wa ajabu kutoka kwa hawa watu, maana kuna gunduzi msululu za sayansi na tekinolojia, zinazotumika Dunia nzima, zilizofanywa na hawa watu. Ingependeza siku moja wagundue silaha inayoua gaidi pekee, ikiwaacha watoto na watu wengine wote wasio na hatia. Maana vifo vya watoto wadogo pale Palestina, vinaumiza na kusikitisha sana.

Soma Pia: Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?

The water-powered car technology developed by the Israeli company Electriq Global utilizes a unique nano-technology that is able to split water into hydrogen and oxygen through a specialized membrane.

This membrane acts like an electrolytic cell, using electricity to break down the water molecules into their composite elements. The hydrogen produced from the reaction is then fed into the vehicle’s fuel cell.

In the fuel cell, the hydrogen combines with oxygen from the air to generate an electric current. This electricity powers the car’s electric motor, propelling the vehicle. Unlike traditional combustion engines, the only byproduct from this reaction is water, meaning the car emits only clean water vapor rather than any harmful emissions.

The test car achieved speeds over 70 mph and required no engine modifications besides connecting to an external water tank and fuel converter. Further road tests are planned using a Suzuki Vitara SUV retrofitted with a larger fuel converter and water tank to extend its range.

Electriq’s goal is to demonstrate over 600 miles per tank, comparable to traditional gasoline vehicles. So far, the technology has shown excellent results in normal driving conditions.

The truth is that a water car could be the end of petrol and all polluting fuels. We have known for years that hydrogen would play a very important role in the decarbonisation of mobility, but not to this extent. Will we soon see it on our roads? Let’s hope so, given its advantages.
CC: Vladimir Vladimirovich Putin
 
Kw
Sio israel tu nchi nyingi zimejaribu kutengeneza mashine kwa kutumia nishati mbadala lakini gari za diesel na petrol zimeendelea kuleta ufanisi mkubwa sana kwa watumiaji ,na ukiangalia israel hana historia ya kufanya vizuri kwenye global market bidhaa zake mara nyingi zinashindwa kushindana sokoni, tofauti na wenzake wa asia, europe na marekani
KWa taarifa tu Israel ndio wa kwanza kusema S400 ya Putin si lolote si chochote.
 
Kampuni ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.

Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.

Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka kwenye maji uliyoyajaza, na hydrogen ndiyo inayoliendesha gari hilo. Wataalam wa masuala ya nishati wanasema kuwa ugunduzi huu wa nishati ya maji katika kuendesha magari, unaweza kuwa ni safari ya kuiaga petrol na nishati nyingine zenye madhara kwa mazingira. Bado haijajulikana gari hili linaweza kuingia sokoni baada ya muda gani. Kwa sasa bado lipo kwenye majaribio mbalimbali.

Ugunduzi wa nishati mbadala litakuwa ni janga kubwa la kiuchumi kwa mataifa hasa ya Kiarabu, yale ambayo uchumi wake kwa kiasi kikubwa unategemea mafuta. Hapa myahudi atakuwa amefanikiwa kummaliza kabisa adui yake mkuu Iran, ambaye uchumi wake, kwa zaidi ya 80% unategemea mauzo ya mafuta pekee yake.

Ugunduzi huu si wa ajabu kutoka kwa hawa watu, maana kuna gunduzi msululu za sayansi na tekinolojia, zinazotumika Dunia nzima, zilizofanywa na hawa watu. Ingependeza siku moja wagundue silaha inayoua gaidi pekee, ikiwaacha watoto na watu wengine wote wasio na hatia. Maana vifo vya watoto wadogo pale Palestina, vinaumiza na kusikitisha sana.

Soma Pia: Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?

The water-powered car technology developed by the Israeli company Electriq Global utilizes a unique nano-technology that is able to split water into hydrogen and oxygen through a specialized membrane.

This membrane acts like an electrolytic cell, using electricity to break down the water molecules into their composite elements. The hydrogen produced from the reaction is then fed into the vehicle’s fuel cell.

In the fuel cell, the hydrogen combines with oxygen from the air to generate an electric current. This electricity powers the car’s electric motor, propelling the vehicle. Unlike traditional combustion engines, the only byproduct from this reaction is water, meaning the car emits only clean water vapor rather than any harmful emissions.

The test car achieved speeds over 70 mph and required no engine modifications besides connecting to an external water tank and fuel converter. Further road tests are planned using a Suzuki Vitara SUV retrofitted with a larger fuel converter and water tank to extend its range.

Electriq’s goal is to demonstrate over 600 miles per tank, comparable to traditional gasoline vehicles. So far, the technology has shown excellent results in normal driving conditions.

The truth is that a water car could be the end of petrol and all polluting fuels. We have known for years that hydrogen would play a very important role in the decarbonisation of mobility, but not to this extent. Will we soon see it on our roads? Let’s hope so, given its advantages.
Acha ujinga aisee , hiyo technology ya kuzalisha hydrogen kwa electrolyisis ya maji na kuitumia kama fuel kwenye propulsion na engines mbona ni kitu cha kawaida muda mrefu ?
Na wala si hao wayahudi feki wenu mnaowaabudu ninyi vilaza kwamba ndio waliodevelop hiyo concept ,mnawaona ka miungu wenu hao fraudsters toka khazaria aka wayahudi feki .
Muwe mnajiupdate kwenye internet kuhusu habari za technology na taarifa mbalimbali ,acheni kutumia bundle zenu kuangalia umbea na porn tu na kufuatilia manabii feki wenu hao .
Grow up you dumb niggas
Bastard !
 
Back
Top Bottom