Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

Oct 7 , nilidhani hamasi wanajua wanacho kifanya ni kama tu nyie mazombi hamijui ?
sasa hawa wenye njaa nao wananunua ugomvi kwa war monger
 
Wameishambulia manowari ya kivita ya USA kwa missiles za za Dollar 2,000 nne, ote zimepigwa na missiles za Kamarekani zinazosikiwa kuwa zinagharibu zaidi ya Dollar million moja mpaka million 10 kila moja kwa uchache.
Kufikia hapa sitaki kusoma tena. Ambaye amesoma na kuelewa naomba anifafanulie.
 
Wayemeni kiboko, hawangoji, wakiamuwa wanafanya tu.

Wameishambulia manowari ya kivita ya USA kwa missiles za za Dollar 2,000 nne, ote zimepigwa na missiles za Kamarekani zinazosikiwa kuwa zinagharibu zaidi ya Dollar million moja mpaka million 10 kila moja kwa uchache.

Fikiri hasara za kumlinda Myahudi, watakuwa na missile ngapi kwenye meli zao za kivita kuzuwia mashambuli ya drones za dollar 2,000 kila kukicha?

Hapa USA ama waikimbie Red Sea ama wawachwe uchi na visilaha vya kutengezea uwani.

USA bado wanatumia manowai za kivita ambazo zilikuwa tishio miaka ya 40 na 50 huko, sasa hivi watu wanazihambulia na drones tu. Meli moja ya kivita inabeba missiles 90 za kushambilia labda na 90 za kujihami pamoja na meli za supplies.

Hapo ndiyo maana Mmarekani alikuwa anatafuta vibaraka wake wasaidiane, wamejuwa kuwa wapo "vulnerable."

Myemeni karudia tena kuwa sasa licha ya meli zinazokwnda Israel tu, meli yoyote ya kivita inayokaribia maji yake nayo ni target yao.

Chanzo:

View: https://youtu.be/N9tozCflir8?si=BphkQb8cJ9tGTutS

Mkichapwa hatutaki mnalialia kuomba huruma
 
Dunia hii ina vituko mvaa msalaba wa mbao anamshambilia amayevaa kobazi kama vazi.
😂
Naangalia aljazeera wavaa vipedo na misuli wenzako huko Gaza wapo "stripped off completely" misuli na vipedo wanadaiwa kuficha silaha maeneo hayo nyeti. Wanadai haki za binadamu zipo wapi wanazalilishwa😂
Amakweli Wazayuni ni kiboko ya magaidi🤔
 
Mashoga na wavaa misalaba ya mbao ndiyo wanaamini propaganda za mabasha zako 😂 unakamata watu kwenye kambi ya wakimbizi wamejichokea na watoto umasema Hamas😂
 
Attachments

  • IMG_8538.jpeg
    IMG_8538.jpeg
    65.5 KB · Views: 1
Hivi akili zenu nyinyi watu zikoje? Hasa wewe FaizaFox.

Marekani na washirika wake watakapoanza kujibu mapigo msije mkalalamika hapa, "action and reaction are equal but opposite in direction."

Either, " Good for the Jews is Good for the Gunners, and Bad for the Jews is Bad for the Gunners."

Peoples of Yemen one day will reap what they sow!
Na wewe ni msemaji wa USA??
 
Wapalestina na Wayahudi hawakuanzia tarehe hiyo...huo ni muendelezo.
Inawezekana hujafatilia huo mgogoro.
kipondo walichokitoa hamas October 7 hakijawah kutokea tangu waanze kudundana na kipondo kinachoendelea Gaza ni kikubwa mno hakijatokea apo Gaza tangu waanze kudundana Oct 7 itabak kwenye kumbukumbu zao kama Sept 11
 
Wayemeni kiboko, hawangoji, wakiamuwa wanafanya tu.

Wameishambulia manowari ya kivita ya USA kwa missiles za za Dollar 2,000 nne, ote zimepigwa na missiles za Kamarekani zinazosikiwa kuwa zinagharibu zaidi ya Dollar million moja mpaka million 10 kila moja kwa uchache.

Fikiri hasara za kumlinda Myahudi, watakuwa na missile ngapi kwenye meli zao za kivita kuzuwia mashambuli ya drones za dollar 2,000 kila kukicha?

Hapa USA ama waikimbie Red Sea ama wawachwe uchi na visilaha vya kutengezea uwani.

USA bado wanatumia manowai za kivita ambazo zilikuwa tishio miaka ya 40 na 50 huko, sasa hivi watu wanazihambulia na drones tu. Meli moja ya kivita inabeba missiles 90 za kushambilia labda na 90 za kujihami pamoja na meli za supplies.

Hapo ndiyo maana Mmarekani alikuwa anatafuta vibaraka wake wasaidiane, wamejuwa kuwa wapo "vulnerable."

Myemeni karudia tena kuwa sasa licha ya meli zinazokwnda Israel tu, meli yoyote ya kivita inayokaribia maji yake nayo ni target yao.

Chanzo:

View: https://youtu.be/N9tozCflir8?si=BphkQb8cJ9tGTutS
 
Attachments

  • IMG_20231227_012428.jpg
    IMG_20231227_012428.jpg
    90.5 KB · Views: 3
Yemen nchi yenye njaa na maskini kuliko nchi zote uarabuni , haina Serikali iko vitani, kuna watu wanataka kujitenga.

Yaani kuna watu wanataka waje walaumu Marekani anawagombanisha
 
Former Israeli Chief of Staff Dan Halutz:

We lost the war against Hamas and our victory will be to eliminate Netanyahu.
 
Attachments

  • IMG_20231227_070532.jpg
    IMG_20231227_070532.jpg
    40.5 KB · Views: 2
Ugaidi wa kidini unaifanya Iran izidi kutengeneza maadui hata kule ambapo hakukua na ugomvi.
Ikumbukwe India ni ya nne kwa ubabe wa kijeshi duniani.

New Delhi’s defense officials vowed to bring those responsible for the recent attacks on two predominantly Indian-crewed merchant vessels to justice amid the ongoing Houthi and Iranian missile and drone strikes in the Red Sea and beyond.

India’s assertive tone on the Red and Arabian Sea attacks comes after the attacks on MV Sai Baba and MV Chem Pluto, the latter of which was struck by a one-way attack drone only 200 nautical miles off the Indian coast.
Ha wahindi wamechapwa kwenye bahari yao kama walivyofanywa mazayuni.

Kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom