Wayne Rooney asaini kuitumikia Klabu ya Everton

Wayne Rooney asaini kuitumikia Klabu ya Everton

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
ROONEY ASAINI EVERTON
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney, 31, amejiunga tena na Everton kwa uhamisho wa bure, miaka 13 baada ya kuondoka Goodison Park

Rooney aliichezea Manchester United mechi 559 na kupachika magoli 253.

Kurejea kwa Rooney Everton kumetokea wakati Manchester United wakikaribia kukamilisha usajili wa Romelu Lukaku kwa pauni milioni 75.
055d57aeacad41f692ae590372c09bcf.jpg
 
Na uhamisho wake huu kwenda Everton utafanya mshahara wake kwa wiki ushuke kwa karibia nusu ya mshiko anaovuta sasa. Ila bado £150,000 ni nyingi kwa Everton
 
Kwa heri jembe! Miaka 2 ya mwisho haikuwa mizuri kwake pale OT! Umeitumikia Man U tangu 2004 ukiwa kinda kabisa! kila la heri huko aendako, uzuri ndiko alikotokea!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
so wazee hiyo,sportpesa ni kampuni ya wapi? na ndio wadhamini wa everton kumbe?
 
hao sportpesa hapo kwenye jezi ndio hawa hawa sportpesa wanaoendesha kampuni ya kubeti?
 
Hicho ndicho kilichokuwa kimebaki kwa Rooney pale OT coz alikosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha Jose Mourinho ni baada ya kushuka kiwango ,,Kila la heri.....kila lenye mwanzo alikosi kuwa na mwisho
 
Back
Top Bottom