Taasisi za elimu ya juu zinategemea ada za wanafunzi. Sasa hivi vyuo vimefungua watakulipa tu.Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao unapaswa kuwalipa mishahara yao.
Unaendelea kufuatilia malipo ya madeni yako kwa zaidi ya miezi tisa bila mafanikio. Unalazimika hata kupunguza idadi ya wafanyakazi ili kupunguza gharama za uendeshaji, lakini bado malipo hayapatikani. Baadhi yetu tumelazimika kuchukua mikopo ili kuendeleza shughuli za kampuni na kuepuka kuifunga, lakini hali bado ni mbaya.
Ukitaka kufilisika, kuchanganyikiwa, si ajabu hata kuharibu maisha yako. Chukuwa tender za serikali...UTAJUTA! Unless kama una mtu wa kufuatilia malipo yako aliye humo ndani! Na uwe tayari malipo yako yawe na rushwa!Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao unapaswa kuwalipa mishahara yao.
Unaendelea kufuatilia malipo ya madeni yako kwa zaidi ya miezi tisa bila mafanikio. Unalazimika hata kupunguza idadi ya wafanyakazi ili kupunguza gharama za uendeshaji, lakini bado malipo hayapatikani. Baadhi yetu tumelazimika kuchukua mikopo ili kuendeleza shughuli za kampuni na kuepuka kuifunga, lakini hali bado ni mbaya.
Ila wanaofanya tenda hata kupitia NeST wana moyo mkubwaUkitaka kupata pressure, kisukari,na kufilisika ,ikiwezekana kufa kwa magonjwa niliyoyataja,fanya biashara na serikali
Acha TUIla wanaofanya tenda hata kupitia NeST wana moyo mkubwa