Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Naombea tufungwe ila watu fulani wanataka tuwe wazalendo kwa tafsiri yao waabike! Watu wanapigwa risasi kama nguruwe pori mwizi wa mahindi na wengine wanapotea afu mnataka tuwe wazalendo!
 
Hakaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…