Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio point tu even hata kagoli kamoja hawawezi kufungaKiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.
Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal
Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.
Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.
Najaribu tu kuwa mkweli katika hili
Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.
Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.
Nasema ni kipingo tu.
mr mkiki.
kama mchezaji wa kutegemewa ni himidi mao tanzania haitashinda hata gaol mojaBado nina imani ña Taifa stars ila sio ķwa sababu ya kampeni na maombi atakayofańya bashite
Taifa stars itapigwa goli nyingi zaidi na Kenya MK254 utakuwa shahidi!
Bado hatujapata timu ya taifa la Tanzania hao tumepeleka wakafanye trial tu warudi, Kenya itaambulia point tatu ila wote tunarudi hata kwa best losers hamtafua dafuWazalendo mandazi nyie, ishabikieni timu yenu ya taifa na kuitakia ushindi. Mimi kama Mkenya nitaishabikia Taifa stars pale itacheza dhidi ya mataifa ya mbali, lakini wakikumbana na timu yetu basi uzalendo mbele.
Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.
Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal
Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.
Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.
Najaribu tu kuwa mkweli katika hili
Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.
Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.
Nasema ni kipingo tu.
mr mkiki.
Aibu ni ya CCM na timu yao mkuuHiyo aibu tunayokwenda kupata, Sijui tutaweka wapi sura zetu.
Tusiwadharau sana inaweza ikatokea bahati wakapata hata penati halafu wakashinda