Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja uoneUnaposema hata moja hatupati ina maana hata Kenya tushindwe kudraw nao? Ulichoongea hapo ni kweli kabisa ila hata hawa majirani zetu watushinde?
Kweli
Kweli
Kweli?
Hii itaniuma sana!! hawa majirani ndio wachovu wenzetu nawao ndio watushinde kweli?
Nitaogelea kuanzia Dar mpaka Pemba afu nikifika Nungwi naweka kambi kwa muda
ha ha ha haaaHiyo aibu tunayokwenda kupata, Sijui tutaweka wapi sura zetu.
Ahaaaaa saaanaKama Ndugai yupo misri ushindi ni ndoto
Simba walikuwa wakiwamwagia upupu wapinzani wao mpaka tp mazembe walipokuja kuutoaHata kwa Simba mlisema hivo hivo mkaaibika vibaya sana na mbeleko mkapata pamoja na kelele zenu.
Nami nasema... TUFUNGWE TU. Maana hamna namna tenaMiujiza hiyo hiyo itaifanya Taifa Stars ifike mbali.Mimi nawaombea wafike mbali na watuwakilishe vyema.
Tusiwabeze,tuwatie moyo.Tusitegemee Kenya waisifu timu yetu pasipo sisi kuisifu wenyewe.
Kila kitu tunabeza,sisi Watz tukoje?
ndo vipigo vyetu hivi, tano tano tu.Senegal 5 star 0
hakuna lisilowezekana...................vijana wapambane tuuKiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.
Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal
Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.
Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.
Najaribu tu kuwa mkweli katika hili
Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.
Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.
Nasema ni kipingo tu.
mr mkiki.