Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusubiri TaboraNtabadili kabila...
Nichagulie kabila kabisaNakusubiri Tabora
Ndio maana nikakuwahi ili uwe mnyamwezi [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nichagulie kabila kabisa
Yaaaani nimecheka mpaka basi,Unaposema hata moja hatupati ina maana hata Kenya tushindwe kudraw nao? Ulichoongea hapo ni kweli kabisa ila hata hawa majirani zetu watushinde?
Kweli
Kweli
Kweli?
Hii itaniuma sana!! hawa majirani ndio wachovu wenzetu nawao ndio watushinde kweli?
Hahahaha hii inathibitisha unaunga mkono hoja. Ahsante kwa ukaribishompendwa. Nije kama nilivyo au nije na IST kabisa?Ndio maana nikakuwahi ili uwe mnyamwezi [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji15] [emoji15] hapana siungi mkono hoja, Mimi ninaamini Tuna point 3 kwa Harambee na Senegal tuna yetu moja ndivyo Ninavyojiliwaza, kukukaribisha Tabora Ni ule ukarimu wa kabila langu maana utachanganyikiwa matokeo yakiwa kinyume na matarajio yako [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahaha hii inathibitisha unaunga mkono hoja. Ahsante kwa ukaribishompendwa. Nije kama nilivyo au nije na IST kabisa?
Hawafungwi ng'oooo!!Wao wanacheza kutumia miguu miwili na Taifa Stars nao wanatumia miguu miwili.Subiri Taifa Stars itakapoushangaza ulimwengu wa soka.Usiseme naota ndogo,bali amini kuwa hata ndoto huumba pia.Nami nasema... TUFUNGWE TU. Maana hamna namna tena
Hiyo miguu miwili tulikuwa nayo tangu zamani. Mi nasema tufungwe tuHawafungwi ng'oooo!!Wao wanacheza kutumia miguu miwili na Taifa Stars nao wanatumia miguu miwili.Subiri Taifa Stars itakapoushangaza ulimwengu wa soka.Usiseme naota ndogo,bali amini kuwa hata ndoto huumba pia.
Kenya wapo wakina origi,wanyama.bado ni mtihani shehe.sema makundi walivyopanga ule ni unyanyasajiWanaweza kupata point moja kwa Kenya
Kufika mbali mbele ya Senegal ndugu?.Apo uzalendo tu ila ukweli uta tamalaki daimaMiujiza hiyo hiyo itaifanya Taifa Stars ifike mbali.Mimi nawaombea wafike mbali na watuwakilishe vyema.
Tusiwabeze,tuwatie moyo.Tusitegemee Kenya waisifu timu yetu pasipo sisi kuisifu wenyewe.
Kila kitu tunabeza,sisi Watz tukoje?
As long as BASHITE anaongoza kampeni mi nishahamia Algeria, Senegal na KenyaKiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.
Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal
Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.
Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.
Najaribu tu kuwa mkweli katika hili
Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.
Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.
Nasema ni kipingo tu.
mr mkiki.