Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Unaposema hata moja hatupati ina maana hata Kenya tushindwe kudraw nao? Ulichoongea hapo ni kweli kabisa ila hata hawa majirani zetu watushinde?

Kweli
Kweli
Kweli?

Hii itaniuma sana!! hawa majirani ndio wachovu wenzetu nawao ndio watushinde kweli?
 
Unaposema hata moja hatupati ina maana hata Kenya tushindwe kudraw nao? Ulichoongea hapo ni kweli kabisa ila hata hawa majirani zetu watushinde?

Kweli
Kweli
Kweli?

Hii itaniuma sana!! hawa majirani ndio wachovu wenzetu nawao ndio watushinde kweli?
Ngoja uone
 
Hata kwa Simba mlisema hivo hivo mkaaibika vibaya sana na mbeleko mkapata pamoja na kelele zenu.
 
Miujiza hiyo hiyo itaifanya Taifa Stars ifike mbali.Mimi nawaombea wafike mbali na watuwakilishe vyema.

Tusiwabeze,tuwatie moyo.Tusitegemee Kenya waisifu timu yetu pasipo sisi kuisifu wenyewe.
Kila kitu tunabeza,sisi Watz tukoje?
 
Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.

Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal

Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.

Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.

Najaribu tu kuwa mkweli katika hili

Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.

Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.

Nasema ni kipingo tu.

mr mkiki.
hakuna lisilowezekana...................vijana wapambane tuu
 
Halafu mchango wa jana ni kama mtu yuko ukumbini anaowa tayari ndio anaomba mchango kugharamia harusi. Team iko Egypt mashindano tayari mechi zenyewe watacheza 3 tu na uhakika mnachangisha pesa ili iweje? ingeleta maana kabla ya mwezi kuwa tuchangishe ile tuweze kuindaa team kwa kambi bora. Tunahitaji mchanganuo hizo pesa zinaenda kufanya nini maana watu jana wanachangia utasema wamelazimishwa. Harusi tu watu wanachanga na mrejesho unarudishwa. Ni muhimu kuwekwa wazi hizi pesa zinaenda kufanya nini na zinaingia Ac gani mambo mengi muda kidogo kwa kweli. viwanja wanagawa bure toa eneo piga mnada pesa ikasaidie team.
 
Pesa pesa
Screenshot_20190621-090322.jpeg
 
Back
Top Bottom