Mundamushimu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 754
- 432
TumbafuSafi sana siku Leo imeanza vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TumbafuSafi sana siku Leo imeanza vzr
TumbafuHahaha Waliisahau tume ya uchaguzi NEC wangeenda nayo
Hongereni Wakenya kwa ushindi!
Ndio ndio
Sababu ni ukweliNaona unakubali mara 2
Duh!mimi bado namlaumu museveni sababu yeye ndie alitanguliza urafiki na jiwe mbele hadi akashawishi timu yake icheze chini ya kiwango ili stars ipite... ni afadhari uganda wangekomaa watufunge aibu iishie africa mashariki kuliko fedheha waliyotusababishia, shame on you yoweri kaguta museveni.
Aiseee ulijuaje mkuu ?Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.
Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal
Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.
Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.
Najaribu tu kuwa mkweli katika hili
Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.
Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.
Nasema ni kipingo tu.
mr mkiki.
So, ulipoamka kesho yake asubuhi ukajikuta kuwa wewe umebadilika kuwa Mkenya au?Mimi ni Mtanzania, ila niliamua kuishangilia Harambee Stars baada ya kuambiwa kuwa timu iliyopo AFCON ni ya ccm na sio timu ya taifa la Tanzania.
uzalendo haulazimishwi. ALGERIA PIGA HAWA KIJAN STAR HADI WAELEWE MICHEZO SI SIASASo, ulipoamka kesho yake asubuhi ukajikuta kuwa wewe umebadilika kuwa Mkenya au?
So, ulipoamka kesho yake asubuhi ukajikuta kuwa wewe umebadilika kuwa Mkenya au?
Wallah,siamini kama niliandika maneno haya.Wale hawaondoki na point hata moja. Ila siwalaumu. Waliahidiwa million kumi kila mmoja hata hawajapewa. Wanalipwa dola 75 kwa siku jamani. Yaani utachezaji mpira na mawazo kibao. Motivation zero kabisa. Mpira ni kazi jamani.
Mkuu ubarikiwe sana, utabiri wako katika uzi huu umetimia vyema sana, ningekuwa karibu ningekulipia PESPI Mkubwa Wao.Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.
Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal
Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.
Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.
Najaribu tu kuwa mkweli katika hili
Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.
Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.
Nasema ni kipingo tu.
mr mkiki.
Lipi limetokea?Japo siungi mkono utekaji wa team chiji ya bashite ila Wekeni akiba ya maneno lolote linaweza tokea kwenye mpira