Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

mimi bado namlaumu museveni sababu yeye ndie alitanguliza urafiki na jiwe mbele hadi akashawishi timu yake icheze chini ya kiwango ili stars ipite... ni afadhari uganda wangekomaa watufunge aibu iishie africa mashariki kuliko fedheha waliyotusababishia, shame on you yoweri kaguta museveni.
 
Ni vipigo tu vinaendelea,sipati picha Algeria watakavyotugaragaza lol[emoji52]
 
Ai
Duh!
 
Wazalendo wenzang Leo tena kwa timu ya watawala
 
Aiseee ulijuaje mkuu ?
 
Mimi ni Mtanzania, ila niliamua kuishangilia Harambee Stars baada ya kuambiwa kuwa timu iliyopo AFCON ni ya ccm na sio timu ya taifa la Tanzania.
So, ulipoamka kesho yake asubuhi ukajikuta kuwa wewe umebadilika kuwa Mkenya au?
 
Mkuu ubarikiwe sana, utabiri wako katika uzi huu umetimia vyema sana, ningekuwa karibu ningekulipia PESPI Mkubwa Wao.

Nafikiri uzi umefungwa rasmi. Hongera sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…