Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Huko kwenu vp?Unaposema hata moja hatupati ina maana hata Kenya tushindwe kudraw nao? Ulichoongea hapo ni kweli kabisa ila hata hawa majirani zetu watushinde?
Kweli
Kweli
Kweli?
Hii itaniuma sana!! hawa majirani ndio wachovu wenzetu nawao ndio watushinde kweli?
Mkuu naomba unipe picha ya uchaguzi ujao raisi atakuwa nani?Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.
Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal
Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.
Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.
Najaribu tu kuwa mkweli katika hili
Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.
Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.
Nasema ni kipingo tu.
mr mkiki.
Ndio mana wanafellHii team haina tofauti na GENGE LA UHALIFU LA GREEN GUARD
.....Kama Ndugai yupo misri ushindi ni ndoto
1. maandalizi hafifu yasiyo ya kimataifaSababu kubwa?