Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Unaposema hata moja hatupati ina maana hata Kenya tushindwe kudraw nao? Ulichoongea hapo ni kweli kabisa ila hata hawa majirani zetu watushinde?

Kweli
Kweli
Kweli?

Hii itaniuma sana!! hawa majirani ndio wachovu wenzetu nawao ndio watushinde kweli?
Huko kwenu vp?
 
Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.

Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal

Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.

Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.

Najaribu tu kuwa mkweli katika hili

Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.

Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.

Nasema ni kipingo tu.

mr mkiki.
Mkuu naomba unipe picha ya uchaguzi ujao raisi atakuwa nani?
 
Sababu kubwa?
1. maandalizi hafifu yasiyo ya kimataifa
2. siasa kuwa juu na kuingilia michezo
3. mipango mibovu ya sera za michezo ambapo wachezaji huibuliwa juu huku badala ya kuwaaandaa na kuwatafuta tangu wakiwa wadogo na kuwaendeleza
4. vipi posho? wanapewa ki uhalisia au? maana viongozi idadi sawa na wachezaji - mradi wa viongozi!!
na mengine mengi
5., exposure si kwa wachezaji tu bali kama watanzania ni ndogo- Linganisha idadi ya wachezaji wa kitanzania wanaocheza nje ni wangapi ? vipi kuhusu senegal, vipi kuhusu algeria? na nchi zingine ? Mbwana samata - mmoja tu!! wengine wanao lukuki te na wengine wanaachwa maaana ni mamia!!
UPO!!
 
Tuliona kikwete na bagamoyo eneo la kibiashara, bandari ya kimataifa, vivuko vya kitalii. Yote kwishnei! Sasa zamu ya Chato na wala si Geita! Ila ndio maendeleo yanavyokuwa. Zamu kibirizi, mashono, kaliua, kiagata, mchichira na mvomero ikifika nao wataendelea! Zamu kwa zamu. Ni maendeleo ya watanzania.
 
Ccm wametoka patupu, hongereni kwa matumiz mabaya ya feza ya umma chini ya bashboy anaeamua nani acheze na nani asicheze.
 
CCM imebanduliwa bao moja huko Tunisia
 
Hapa najiuliza zile point 3 walizioataje kwa mpira huu nilioangalia leo.

Hakika Mzee Mwinyi Hakukosea "Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa"
 
Hapa najiuliza zile point 3 walizioataje kwa mpira huu nilioangalia leo.

Hakika Mzee Mwinyi Hakukosea "Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa"
Hii timu natamani kila siku waifuge.
 
Back
Top Bottom