Katika huu mnyukano upande gani ni wa haki au ulio lesser evil kwa Watanzania?
MarekaniKatika huu mnyukano upande gani ni wa haki au ulio lesser evil kwa Watanzania?
Kama U.S. anatetea 'haki' kwa ajili yake basi sisi raia wa Tz by default tupo upande wake maana unatupa unafuu kwetu.Wote wanapigania maslahi yao. Hakuna mwenye haki hapo.
Wakati mwingine watawala hutumia haki kama silaha ya kupata na kulinda maslahi yao. Na hapohapo hutumia dhulma kama silaha kupata au kulinda Maslahi yao.
Marekani anaitumia haki, kutetea Watanzania walioonewa lakini sio kwaajili ya watanzania Bali kwaajili yake mwenyewe.
Tanzania haiwez kua na mnyukano na marekani hata kuthubutu hawawezi!! Trump anawatikisa wakubwa duniani wazee wote wa NATO ndo ije kua Tanzania!!Kuna huu mnyukano unaoendelea kati ya CCM na Marekani kufuatia muswaada wa Maseneta wawili wa Marekani kuhusu Tanzania ukiangazia mambo mbalimbali
Wazalendo tunasimama wapi ukizingatia kila upande katika mnyukano huo unaendeshwa kwa maslahi yao binafsi zaidi kuliko umma mpana wa Watanzania?
Maslahi gani Marekani amenyimwa na CCM??Wote wanapigania maslahi yao. Hakuna mwenye haki hapo.
Wakati mwingine watawala hutumia haki kama silaha ya kupata na kulinda maslahi yao. Na hapohapo hutumia dhulma kama silaha kupata au kulinda Maslahi yao.
Marekani anaitumia haki, kutetea Watanzania walioonewa lakini sio kwaajili ya watanzania Bali kwaajili yake mwenyewe.
Maslahi gani Marekani amenyimwa na CCM??
Marekani haijawahi kuwa na msaada wowoteKuna huu mnyukano unaoendelea kati ya CCM na Marekani kufuatia muswaada wa Maseneta wawili wa Marekani kuhusu Tanzania ukiangazia mambo mbalimbali
Wazalendo tunasimama wapi ukizingatia kila upande katika mnyukano huo unaendeshwa kwa maslahi yao binafsi zaidi kuliko umma mpana wa Watanzania?