Marekani akiwataka CCM, hata Maduro ana afadhali.Hoja zako zote zimesimama.
Ila katika ulimwengu wa kibepari hazifanyi kazi.
Ukanda huu, hata Kagame au Burundi hatuwezani naye.
Askari wa JWTZ mwenye asili ya Rwanda adaiwa kutoroka Tanzania!
Jeshi limesema litatoa taarifa zaidi kuhusu mwanajeshi huyo anayedaiwa kutoroka na nyaraka muhimu za jeshi!!
Source: Mtanzania Jumapili
======
OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha, huku akiacha wingu la mashaka kwamba, hatua yake hiyo inaweza ikawa imeambatana na kupotea pia kwa baadhi ya taarifa muhimu za kijeshi.
Taarifa za kutoweka kwa ofisa huyo mwenye cheo cha luteni kanali, zinalihusisha tukio hilo na hatua...

- BRAND
- Replies: 283
- Forum: Jamii Intelligence