Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Una maanisha hufungamani na upande wowote!Siku Zote kuwa upande wa HAKI.
HIlo tuu. Hakuna cha amerika wala wazalendo.
Una maanisha hufungamani na upande wowote!Siku Zote kuwa upande wa HAKI.
HIlo tuu. Hakuna cha amerika wala wazalendo.
acha upotoshaji ndugu mfuata mkumbo,Kuna huu mnyukano unaoendelea kati ya CCM na Marekani kufuatia muswaada wa Maseneta wawili wa Marekani kuhusu Tanzania ukiangazia mambo mbalimbali
Wazalendo tunasimama wapi ukizingatia kila upande katika mnyukano huo unaendeshwa kwa maslahi yao binafsi zaidi kuliko umma mpana wa Watanzania?

Najua wewe ni KIAZI.Kama hayajaminywa basi elewa hizo kauli zinazotolewa Kila Siku na Marekani na washirika wake ni danganyatoto
Buluga nakumbukaImewahi kuwa na msaada, iliwahi kutupa unga wa Yanga wakati wa janga la njaa.
Amerika asaidie chama hiki kiovu kufariki dunia na kufutika katika ramani ya dunia na tz!Kuna huu mnyukano unaoendelea kati ya CCM na Marekani kufuatia muswaada wa Maseneta wawili wa Marekani kuhusu Tanzania ukiangazia mambo mbalimbali
Wazalendo tunasimama wapi ukizingatia kila upande katika mnyukano huo unaendeshwa kwa maslahi yao binafsi zaidi kuliko umma mpana wa Watanzania?
Ni kipi US anakitaka sasa hivi hapa Tanzania akakikosa?Wote wanapigania maslahi yao. Hakuna mwenye haki hapo.
Wakati mwingine watawala hutumia haki kama silaha ya kupata na kulinda maslahi yao. Na hapohapo hutumia dhulma kama silaha kupata au kulinda Maslahi yao.
Marekani anaitumia haki, kutetea Watanzania walioonewa lakini sio kwaajili ya watanzania Bali kwaajili yake mwenyewe.
TZ siyo mzalishaji mkubwa wa Uranium hata Afrika.Inasemekana madini adimu na uranium mkuu wamepewa Wachina na Warusi.
Mkataba uko wapi mkuu?Inasemekana madini adimu na uranium mkuu wamepewa Wachina na Warusi.
Ni kipi US anakitaka sasa hivi hapa Tanzania akakikosa?
Najua wewe ni KIAZI.
Ila lazima ujue, wanaopeleka huo Mswada siyo serikali ya Marekani ila ni MASENETA.
Na UTU hauna MIPAKA.
Wakati TZ , imekusanya WANAHARAKATI WA AFRIKA inawapa Mafunzo ya kijeshi, kuvunja mahusiano na Israel na Morocco walikuwa wanataka kufaidi nini?
Hivi hata historia ya nchi yenu mnaijua??
Mwisho, nyumbani kwako kwa mkeo ukashindwa kutatua matatizo ya nyumbani kwako, unatesa na kupiga mkeo na kuua watoto wako, lazima watu baki wataingilia kazi, na hapo wanaweza kuwa wema au wasiwe wema ila ZWAZWA ni wewe.
TZ siyo nchi ya Kibepari.Hoja zako zote zimesimama.
Ila katika ulimwengu wa kibepari hazifanyi kazi.
Irani na wa Irani😀😀Kuna huu mnyukano unaoendelea kati ya CCM na Marekani kufuatia muswaada wa Maseneta wawili wa Marekani kuhusu Tanzania ukiangazia mambo mbalimbali
Wazalendo tunasimama wapi ukizingatia kila upande katika mnyukano huo unaendeshwa kwa maslahi yao binafsi zaidi kuliko umma mpana wa Watanzania?