Wazalendo tunasimama upande gani katika mnyukano kati ya CCM na Marekani?

acha upotoshaji ndugu mfuata mkumbo,
Tanzania na Marekani hazinyukani na wala hakuna sababu hata moja ya kufanya hiyo nonsense, baina ya mataifa haya mawili makubwa sana duniani, marafiki wa kihistoria wa muda mrefu na yenye nguvu zinazokaribiana kisiasa, kijamii, kiuchumi na kijeshi.

SO,
ACHA UPOTOSHAJI NA UZUSHI NONSENSE KAMA HUO GENTLEMAN plz
 
Kama hayajaminywa basi elewa hizo kauli zinazotolewa Kila Siku na Marekani na washirika wake ni danganyatoto
Najua wewe ni KIAZI.

Ila lazima ujue, wanaopeleka huo Mswada siyo serikali ya Marekani ila ni MASENETA.

Na UTU hauna MIPAKA.

Wakati TZ , imekusanya WANAHARAKATI WA AFRIKA inawapa Mafunzo ya kijeshi, kuvunja mahusiano na Israel na Morocco walikuwa wanataka kufaidi nini?

Hivi hata historia ya nchi yenu mnaijua??

Mwisho, nyumbani kwako kwa mkeo ukashindwa kutatua matatizo ya nyumbani kwako, unatesa na kupiga mkeo na kuua watoto wako, lazima watu baki wataingilia kazi, na hapo wanaweza kuwa wema au wasiwe wema ila ZWAZWA ni wewe.
 
Amerika asaidie chama hiki kiovu kufariki dunia na kufutika katika ramani ya dunia na tz!
 
Ni kipi US anakitaka sasa hivi hapa Tanzania akakikosa?
 
Ni kipi US anakitaka sasa hivi hapa Tanzania akakikosa?
Inasemekana madini adimu na uranium mkuu wamepewa Wachina na Warusi.
 
Inasemekana madini adimu na uranium mkuu wamepewa Wachina na Warusi.
TZ siyo mzalishaji mkubwa wa Uranium hata Afrika.

Uganda hapo kuna Uranium, na Museveni hajapata mwekezaji.

Huko Niger Weat Afrika kuna Uranium nyingi tu
 
Mkataba uko wapi mkuu?
Mikataba yote ya nchi hii ya rasilimali ni siri ya CCM ila hizo ni habari za mjini zisizo rasmi kwa sasa.
 

Hoja zako zote zimesimama.

Ila katika ulimwengu wa kibepari hazifanyi kazi.
 
Marekani inaihitaji Tanzania kuliko Tanzania inavyoihitaji Marekani.
 
Irani na wa Irani😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…