Wazalendo tunasimama upande gani katika mnyukano kati ya CCM na Marekani?

Hoja zako zote zimesimama.

Ila katika ulimwengu wa kibepari hazifanyi kazi.
Marekani akiwataka CCM, hata Maduro ana afadhali.


Ukanda huu, hata Kagame au Burundi hatuwezani naye.


 
Marekani inaihitaji Tanzania kuliko Tanzania inavyoihitaji Marekani.
Mambo ya Syria yalianza hivi hivi Ugomvi wa Syria na Marekani Wasyria wakawa upande wa Marekani, hii dalili hata kama unajipa Moyo sio dalili nzuri
 
Mambo ya Syria yalianza hivi hivi Ugomvi wa Syria na Marekani Wasyria wakawa upande wa Marekani, hii dalili hata kama unajipa Moyo sio dalili nzuri
Ni hatari sana kuwafikisha watu katika hatua ya kujikatia tamaa kabisa hata kusema potelea pote bora tukose wote.
 
Aaaaah.....Mkuu Yoda, ukisema kuna mnyukano kati ya ccm na Marekani unatengeneza picha kwamba wako level moja kiubavu...kwamba wote ni giants.
Kwa kuzingatia ukweli kwamba serikali ya Tanzania bado ni matonya wa kutembeza bakuli,tunajua muongoza serikali ccm hawezi thubutu kukemea rasmi wachangiaji wa bajeti. Sana sana watajifanya wanakosoa chumbani b na siyo kukosoa rasmi hadharani.
Lakini sisi wananchi tutakuwa upande wa yeyote anayehubiri na kuitenda haki.
Umemkuza sana huyo matonya kijani aliyetutia umaskini.
 
Tunapaswa kuwa upande wa Marekani ili kupambana na udhalimu wa CCM.
 
Kama hakuna anachokikosa basi hesabu matamko yake nu danganya toto tu
Inshort hana anachokitaka akakikosa, hawa wapotoshaji wanataka kuonyesha US ana uchu sana na Tanzania, ila wamembania ndio maana anasema anachokisema sasa.
 
Kwa kuwa Marekani hajawahi kutuua wala kuteteka basi niko upande wake.
 
TZ siyo mzalishaji mkubwa wa Uranium hata Afrika.

Uganda hapo kuna Uranium, na Museveni hajapata mwekezaji.

Huko Niger Weat Afrika kuna Uranium nyingi tu
mbaya zaidi uranium kwa sasa haina dili kihivyo labda ya shinkolobwe DRC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…