Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wewee konda nishushe darajan
 
Huu uzi hata wasio wenyeji wa Tanga watauvamia kama watanga vile
 
Niache Sokoni Makorora...
 
Hahahahah nasikia wanaume wa Tanga huwa wanaomba limbwata liongezwe makali waendelee kukaa vibarazani na wake zao kuendeleza umbea eti ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…