Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

We unataka uchumi gani ? Tanga haina njaa mkuu na uchumi uko stable sana. Unaifananisha na mkoa gani labda ?
Tanga niifananishe nawapi mkuu??? Tuko hukubara twahangaikia hizo pesa tuu, mihogo yanazi, vibibi, mahamri, mkate wakumimina navimiss haswa
 
Watu wa Tanga badilikeni,huu uzi ungekuwa ni Uzi wa maendeleo,kujulishana fursa na ujasariamali ndani ya mkoa kwenu.Na kufahamishana kazi,biashara,ukulima kwa kila aliyeko katika eneo alilopo au nje ya hapo,kama kuna fursa gani za kimaendeleo.Sio kutoleana maneno ya kejeli na kubaguana kikabila.
 
Roma alisema Tangaaa mikono juu.....
I love Tanga and will go back to live there....
 
Wazaliwa wa Tanga niwengi sijajua lengo lako nikwa wale wenye asili ya TANGA au nikwakila ambaye KAZALIWA Tanga naomba muongozo
 
Back
Top Bottom