Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Bibie uko Bright sana sikutegemea kama Utakuwa Mtanga kwa kweli unajua nyumbani kule wengine ni kina maalim/Ustadhati so ni weupe ktk mambo ya Kidunia
Yaani wewe hii comment yako imenikumbusha mbali 2007 nilikutana na wakaka wa ki-Ganda kazini basi walipojua mimi m-Tanzania sikumoja mmoja aliniambia kumbe wanawake wa ki-Tanzania pia wanasoma sisi tunajua ni wazuri wa kupika pilau na chapati. Uhusiano wetu uliishia pale.
 
Mimi Urafiki wetu usiishe sasa Japo hatufahamiani ila mimi pia mtanga Best
 
Tanga napenda mabinti wanavyojua kulea kama ukiwa na pesa olewako ziishe utajuta
 
sitaki kuamin watanga huu uzi wetu umepoa sana leo embu tuuchangamshe jaman
 
Back
Top Bottom