Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Tanga moko vp watanga wenzangu nawasihi Bomba la mafuta laja tusifanye makosa fursa zitakuwepo nyingi jaribuni kuwa Makin sana.. pia tuwe chachu ya maendeleo kwa tanga yetu na jiji kwa ujumla...tutulize akili hao wabara na chuga na wengine waone wivu kwenye suala la maendeleo kwa tanga yetu.. tupo pamoja wakuuu one blood tanganian
 
4b16d64b5fe9b7a296726f898643a5bc.jpg
 
Mkuu mbona picha zote za Deep sea tu??? duh kitambo sana! aisee kwa waliokuwepo huko njooni inbox basi tujuane. mimi nategemea kuanza likizo 3rd November na ntakuja Tanga huko kama vipi tuonane wadau
 
Mkuu mbona picha zote za Deep sea tu??? duh kitambo sana! aisee kwa waliokuwepo huko njooni inbox basi tujuane. mimi nategemea kuanza likizo 3rd November na ntakuja Tanga huko kama vipi tuonane wadau
Nilikuwepo muda huo wakati na post. Nimetoka kununua samaki
 
Back
Top Bottom