Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Hahaha, hujanipata Daby, pale Kisosora jirani na Sokoni kuna ukumbi walikuwa wanaita Center, tupilia mbali ile Central Police ya Chumbageni.
Enzi za utoto, Siku za sikukuu ulikuwa ukumbi wa kujidai. Miaka ya 2005 kuendelea uliitwa la manyani
 
kama unajua laiti Tanganyika isinge ungana na Zanzibar Basi wilaya ya Pangani ambayo ipo mkoa wa Tanga basi nayo ingekuwa ni zanzibar
Kweli mkuu uku kwetu pangani upepo ukitulia tunausikia mziki Toka visiwan.. pia bahari ikitulia tunaona minara ya Sim znz.. hasa maeneo ya ushongo
 
jamani nauliza hii mada inawahusu watu Wa tanga tu?

Basi me napita tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] looh mbali kote huko looh nisalimie mkongoron
[emoji23] [emoji23] [emoji23] njo mpaka mission
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…