Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Kumbe wengi wa Tanga. Waliopita Usagara miaka ya sabini tujuane.
 
Tanga home swt home nakumbuka ligi za mpira mwamboni mpaka refa mwenye bej ya FIFA marehem Bakari Mtangi alikuwa anachezesha
 
Back
Top Bottom