Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Ni kweli kuwa kuna mkoa mpya unataka uanzishwe wa korogwe? Izi tetesi zimeenea sana hasa baada ya kufunguliwa stand kubwa ya mabasi korogwe (kilole)..
Ni kweli hii..
Anaejua atueleze
 
Back
Top Bottom