Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Mkinga, Tanga, Muheza na Pangani ni wilaya zenye bahari.
Lkn siyo Tanga yote ni Pwani kama Jiografia yangu iko sawa, nafikiri ni Tanga City tu labda ndiyo wana haki ya kuwaita wengine watoka Bara!
 
Wenyewe wanaita "Helto"
Oyoooooooooooooo
14504a898ae158f79794d2ca2115f14b.jpg
mambo ya tanga hayo
 
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.

Wa T.A tujimwae mwae humu.

TANGA NDIO HOME
11889576_766359033475931_5319794118010682541_n.jpg
Mimi nimezaliwa mkoa wa Tanga na japo #Lushoto

Mikanjuni Transformer
Magaoni tairi 3
Duga Mwembeni
Neema

Donge. Donge (Kwakaheza my home)
Mnjanyani
Kwanjeka
Sahare
Makorora
Dunia Hotel
Gatundu
Mabanda ya Papa
Gofu
Kwaminchi
Chumbageni
Majani Mapana
Kange
Kisosora
Raskazone

Ongezeeni kwengineko nakunywa maji kidogo
 
Back
Top Bottom