Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Sema wali nazi makorora!
Wale wa kisosora mpo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa kisosora mpo?
Kisosora ,,,chumvini ,,,mabokweni,,,,mpk maramba,,, tupo mkuu
Bara ni kinyume cha pwani mkuu. Hata watu wa Mtwara na Lindi ni haki yao kuwaita watu wa Songea "wa-BARA."
Lkn siyo Tanga yote ni Pwani kama Jiografia yangu iko sawa, nafikiri ni Tanga City tu labda ndiyo wana haki ya kuwaita wengine watoka Bara!
# SONI Lushoto nipooooooo
Oyoooooooooooooomambo ya tanga hayo![]()
Donge moja hiiyooooo jaman anaekaa mzingan nani
Mwembe duga , Mwang'ombe Mwakidira, Mwahako... umetua!Kumbe jirani, Mikanjuni hapa
Nyie simwasifika kwa ukarimu Eti? Nikarimuni na mimi basiTupoooooo
NB: hatuwajibiki na matokeo ya utekelezaji wa maagizo hayaNyie simwasifika kwa ukarimu Eti? Nikarimuni na mimi basi
Ile ya kwanza ni mwembeniMwembe duga , Mwang'ombe Mwakidira, Mwahako... umetua!
Nipp Mndele
Eti alivyosikianamim pia nasubir jibu mana sijamuelewa
Mimi nimezaliwa mkoa wa Tanga na japo #LushotoUzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.
Wa T.A tujimwae mwae humu.
TANGA NDIO HOME![]()
SanaaaEwaaaaaaa. Hujakosea Dada.
Tanga Raha. 😂😂😂