Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Karibuni sana Pangani, mji wenye maisha ya raha na bata za kufa mtu (kama una pesa) hotel za kifahari pembezoni mwa beaches ndefu za pangani kuanzia kigombe mpaka saadani...
Beach za huko ni safiiii na ile njia ya Saadan ni fupi sana kama waenda Pangani. Ila kuna hoteli ya M south Afrika maeneo ya Saadan huingii ukakaa kula bata bila kua umefanya booking awali, hebu waache mambo yao ya Kikaburu kwenye nchi yetu
 
Back
Top Bottom