Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Unataka kuhamia?
Tanga raha....Japo sio mzaliwa wa huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga raha....Japo sio mzaliwa wa huko.
Kule kumeshakuwa second home tangu kitambo kaka mkubwa.....Unataka kuhamia?
Nitakwambia siku nyingine bro......Sehemu gani?
Karibu sana kaka ake Yakiwa tayari mafenesi we njoo nayo tu Kaka na sie tule. 😂😂😂Nimefarijika na uzi huu karibuni Mkuzi muheza ,ndio kwetu ,msimu wa fenesi unakuja huu
hahah umeonaeeeNipp Mndele
Hapa kuna kibao cha karibu, cha kuondoka hamna.
Tanga yetu na mdumange wetu pia
miss u nakupigia soon ngoj nitokeNimekuja mdogo wangu.
hongea[emoji85][emoji85][emoji85]niughushizaaaMaili5,Bumbuli,Vuga,Bazo. Keibuiiiii 😛
Ziza bua.hongea[emoji85][emoji85][emoji85]niughushizaaa
Beach za huko ni safiiii na ile njia ya Saadan ni fupi sana kama waenda Pangani. Ila kuna hoteli ya M south Afrika maeneo ya Saadan huingii ukakaa kula bata bila kua umefanya booking awali, hebu waache mambo yao ya Kikaburu kwenye nchi yetuKaribuni sana Pangani, mji wenye maisha ya raha na bata za kufa mtu (kama una pesa) hotel za kifahari pembezoni mwa beaches ndefu za pangani kuanzia kigombe mpaka saadani...
Nimefurahi kumuona mwana Jf mwenzangu tunaeishi wilaya mojaKaribuni sana Pangani, mji wenye maisha ya raha na bata za kufa mtu (kama una pesa) hotel za kifahari pembezoni mwa beaches ndefu za pangani kuanzia kigombe mpaka saadani...
Pamoja sanaNimefurahi kumuona mwana Jf mwenzangu tunaeishi wilaya moja
Haya ukaramkadze huko? Je ni mnono mwenehu? Mi ni mnono simanya uwe?Nipigie jamaani mdogo wangu. Maana umemisika ujue.