Kwa macheni je?
[emoji23][emoji23] hebu tuleteeni hiiKuna jamaa walijitokeza kwenye makaburi ya Kinondoni wakiwa wamevaa sanda na maudongo udongo kama vile wamefufuka hivi, sasa upande wa pili wa barabara kulikuwa na bar pale mwembe jini kukiwa kumepaki gari kama zote aisee, unakumbuka kilichotokea mkuu...? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah...kwani nawe ni muhenga? [emoji15]Marhabaa mtoto mzuri
Lang'ata social hall bado ipo??Hahahaha asee
Lang'ata kino hii now kuna Kanisa
Casanova/billiards ,masaki
La dolce vita, o"bay karibu na coco
Rungwe oceanic ,kwa mwakitwange
Kitambo sana hiyo ,sijui nimepatia ?
Zingine ; blue palms , ronies
Kwani hii ni ya zamani mkuu???[emoji23][emoji23] hebu tuleteeni hii
Hahahaha gazeti la Jitambue maandishi yuko humuNgongoti na mzee jangala
Kuna gazeti la jitambue, nilikua Nalipenda ningali primary
Kibisa kiingilio sh 20
Hahahaha, ndio ikaibuka story mabaharia wamezamia meli bandarini wakashuka coco beach wakijua wamefika ughaibuni
Halafu hivi wahenga ni wanaume tu..ππmbona siioni jinsia yangu hukuπ π
SafiiiiihMarahabaa kijana
Nani huyo nimpongeze,, maana dah,Hahahaha gazeti la Jitambue maandishi yuko humu
Kizenga Recording,Casino recording, zilikuwa manzese.kariakoo shahista na Elricard recording, nyingine ilikuwa Buguruni Jina nimesahauWakongwe mnakumbuka zile studio za kurekodi na kuuza kanda za muziki? Binafsi nakumbuka vichache
Kimoja kilikuwa pale Manzese Argentina,kingine Temeke mwisho, na kingine Mtoni kwa Azizi Ali.
Wakongwe wenzangu mtakuwa mnayakumbuka mengine.