Wazamani (wahenga) tukutane hapa

Wazamani (wahenga) tukutane hapa

Kuna jamaa walijitokeza kwenye makaburi ya Kinondoni wakiwa wamevaa sanda na maudongo udongo kama vile wamefufuka hivi, sasa upande wa pili wa barabara kulikuwa na bar pale mwembe jini kukiwa kumepaki gari kama zote aisee, unakumbuka kilichotokea mkuu...? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] hebu tuleteeni hii
 
Hahahaha asee
Lang'ata kino hii now kuna Kanisa

Casanova/billiards ,masaki

La dolce vita, o"bay karibu na coco

Rungwe oceanic ,kwa mwakitwange

Kitambo sana hiyo ,sijui nimepatia ?

Zingine ; blue palms , ronies
Lang'ata social hall bado ipo??
 
[emoji23][emoji23] hebu tuleteeni hii
Kwani hii ni ya zamani mkuu???
Si ni juzi kati tu hapa, anyway kwa sababu tuna zamani tofauti tofauti maana hata waha wa 2000 nao wanazamani yao!
Halafu wale jamaa walikuwa ni wahuni waliwaseti watu kwa siku kadhaa wakiwa wanazunguka zunguka makaburini. Sasa walipoibuka hakuna aliethubutu kukaa wote ni mbio kuanzia meneja, barmaids na wateja wao. Halafu jamaa wakajizolea simu na pesa za kaunta kiulaini!!!
 
Kuchoma nywele na chungu /kigae..

Kuvaa viatu mwisho saa sita CHACHACHA.

Kupaka mafuta ya samli.
 
Mabaharia walikuwa wanapagawa sana na Linea Messina (Messina Line)....unamkuta mtu pale Posta ya zamani anaitazama meli mpaka anatoa machozi
😅😅😅😅😅kwanini alikuwa anatoa machozi ,,, RRONDO
 
Hahahaha, ndio ikaibuka story mabaharia wamezamia meli bandarini wakashuka coco beach wakijua wamefika ughaibuni

😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Wakongwe mnakumbuka zile studio za kurekodi na kuuza kanda za muziki? Binafsi nakumbuka vichache
Kimoja kilikuwa pale Manzese Argentina,kingine Temeke mwisho, na kingine Mtoni kwa Azizi Ali.
Wakongwe wenzangu mtakuwa mnayakumbuka mengine.
Kizenga Recording,Casino recording, zilikuwa manzese.kariakoo shahista na Elricard recording, nyingine ilikuwa Buguruni Jina nimesahau
 
Magazeti ya zamani kama Motomoto yangekuwepo leo yangeweza kuandika habari za mfalme mwenye pembe?
Yuko wapi Fred Jim Mdoe?
 
Back
Top Bottom