Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
Naongeza na Mzinga Troupe wazee wa morogoro.,Morogoro Jazz, Kilombero Jazz,Naongezea.
Magereza jazz, Mzee Makassi, polisi jazz, kumbakisa, kimbunga jazz, uda nao walikua na bendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dilela ni Derailleur, hizo ni gear za baskeli ndio tukaziita hivyo zile baskeli za mashindano zenye gear, zile ukiendesha lazima uinameMountain bikes, kuna zile tukaita dilela nadhani, walinzi ndio walikua na phonex ,Shanghai
Halafu zamani baiskeli tulikua tunaendesha sana tu watoto
Hahahaha, we under 17Nilivyosoma hizo co co co..ndipo nilipogundua kweli Mimi ni kabinti ka juzi
Ewaa, hizi nazo ziliingia sana, tayari zake nyembambaDilela ni Derailleur, hizo ni gear za baskeli ndio tukaziita hivyo zile baskeli za mashindano zenye gear, zile ukiendesha lazima uiname
Hahahaha, marhaba umeamkaje ? Ushaenda kusali pasaka, Yesu MfufukaUnder 17 !!! Nitake radhi shekhee
Shikamoo
Hahahaha, marhaba umeamkaje ? Ushaenda kusali pasaka, Yesu Mfufuka
Kwema kabisa, karibuSalama sijui wewe muhenga
Zikianza stori za waliopanda meli nilikuwa nakuwa mnyongeeeSisi tuliosoma Sekondari Mikoa ya Mtwara na Lindi , tunazikumbuka MV Mapinduzi,MV Lindi ,MS Mtwara . Na vituo vyetu vya kujiandikisha kwa ajili ya kusubiri usafiri ni Azania Sekondari kwa Wavulana na Jangwani Sekondari kwa Wasichana.
Enzi hio hamna mobile phones...unaenda kwa rafiki au ndugu kutoka Ubungo hadi Mbagala ukifika unaambiwa katokaNaona wahenga mnafunguka hatari
ππππEnzi hio hamna mobile phones...unaenda kwa rafiki au ndugu kutoka Ubungo hadi Mbagala ukifika unaambiwa katoka
Au mtoto kama wewe inabidi nikusubirie ukitumwa dukaniππ
ππππ
Aisee zamani ..nimewaza umbali wa ubungo to mbagala khaaa
ππAu mtoto kama wewe inabidi nikusubirie ukitumwa dukani
Nakusoma ratiba zako zote. Jioni lazima ukanunue mkate..kuchoma mahindi kawaida tuππ
Sasa Hadi nitumwe dukani si mtakuwa mlichoma Sana mahindi..!! Hamkuwa na ile kurusha kijiwe dirishani kwa msichana au kwenye bati?
πππNakusoma ratiba zako zote. Jioni lazima ukanunue mkate..kuchoma mahindi kawaida tu
Hahahaha, story za kupanda meli ,za kukatisha border za RSA ,hizo zina wenyeweZikianza stori za waliopanda meli nilikuwa nakuwa mnyongeee
Mara nyingi wachumba walikuwa majirani kwahio unakuwa na visingizio vingi vya kwenda kwaoπππ
Wahenga mlitisha