Wazamani (wahenga) tukutane hapa

Wazamani (wahenga) tukutane hapa

Naongezea.
Magereza jazz, Mzee Makassi, polisi jazz, kumbakisa, kimbunga jazz, uda nao walikua na bendi

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongeza na Mzinga Troupe wazee wa morogoro.,Morogoro Jazz, Kilombero Jazz,

Tafadhalini naomba mkongwe mmoja aniwekee ngoma iliyokwenda kwa jina 'Kinyonga' kutoka Mzinga Troupe.
 
Dilela ni Derailleur, hizo ni gear za baskeli ndio tukaziita hivyo zile baskeli za mashindano zenye gear, zile ukiendesha lazima uiname
Ewaa, hizi nazo ziliingia sana, tayari zake nyembamba

Enzi hizo kulikuaga na party la watoto wa upanga,masaki/ oysterbay na watoto wa regent
 
Au mtoto kama wewe inabidi nikusubirie ukitumwa dukani
😀😀

Sasa Hadi nitumwe dukani si mtakuwa mlichoma Sana mahindi..!! Hamkuwa na ile kurusha kijiwe dirishani kwa msichana au kwenye bati?
 
Back
Top Bottom