Wazamani (wahenga) tukutane hapa

Ukiishi mjini kengele ya kukuzindua kwamba umeshazeeka huwa inachelewa sana kulia. Na ndiyo maana ni rahisi mtu wa kijijni kuwa na "mji" wake tofauti na wa mjini.
[emoji16][emoji16][emoji16] hivyo eeh? Ningekuwa kijijini huwenda kweli na mimi ningekuwa na mji wangu
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ tatizo ni huyo anaeniita hivyo! Mimi namuona mdada ananifaa kabisa yeye ananiona Baba yake! It's not fair
[emoji16][emoji16][emoji16] uoga wako ndio umaskini wako, kwani hujaona watu wanatoka na babu zao? Itakuwa wewe baba wa kulazimisha?
 
[QUOTE="maiyanga1, post: 34920950, member: 419268"

Hebu tukumbushane, ya kale ni dhahabu.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]



Namkumbuka SARAH MARTIN SIMBAULANGA na TOROHA MOHAMED TOROHA, wafanyakazi wa NBC (Benki ya Taifa ya Biashara) Hawa waliiibia NBC zaidi ya Tshs 200m miaka hiyo ya 1980's

Baadae jamaa Hawa walikamatiwa Kenya. Sifahamu kesi na hukumu yako ilikuwaje kwani by the time nilikuwa Primary school....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli miaka ya nyuma dsm baiskeli zilikuwa zikitumika kubeba abiria kwa malipo kama zilivyo boda boda kwa sasa?? Wahenga mnijuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…