RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Yeah hapa mjini kulikuwa na vituko balaaAisee...kumbe ndio chanzo cha ilo jina "Kishtobe"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hapa mjini kulikuwa na vituko balaaAisee...kumbe ndio chanzo cha ilo jina "Kishtobe"
Hahahaha, kula sana mihogo huku mnatazama movie kibububuMkuu ukiwaambia vijana wa sasa kwamba pale ulipo ubalozi wa USA ndio kulikuwa na Drive-in cinema hawatakuelewa....enzi hizo kama huna hela unakaa pale nje unacheki Bruce lee na akina Fred Williamson bila sauti. Tulikuwa tunaita kiingilio mbu!
Hahahaha ,kishtobe,Saratoga ,MV lienaYeah hapa mjini kulikuwa na vituko balaa
Duh buguruni hio, aiseee!Hahahaha, kula sana mihogo huku mnatazama movie kibububu
Avalon ndio imekua Ofc za Tunakopesha eeh , na Empire mmevunja kabisa, odeon mmempa Mo ,dah kitambo
Ila yote Tisa ile story ya MTU kageuka chatu ,ilibamba sana
Mabaharia walikuwa wanapagawa sana na Linea Messina (Messina Line)....unamkuta mtu pale Posta ya zamani anaitazama meli mpaka anatoa machoziHahahaha ,kishtobe,Saratoga ,MV liena
Nakumbuka timu ya MV liena
Hayo masinema ukipita hata huwezi kudhani yalikuwa yanabamba! Nilisahau Starlight CinemaHahahaha, kula sana mihogo huku mnatazama movie kibububu
Avalon ndio imekua Ofc za Tunakopesha eeh , na Empire mmevunja kabisa, odeon mmempa Mo ,dah kitambo
Ila yote Tisa ile story ya MTU kageuka chatu ,ilibamba sana
Hahahaha, ile story angeikuta anko shingongo ingenoga sanaDuh buguruni hio, aiseee!
Hahahaha, ndio ikaibuka story mabaharia wamezamia meli bandarini wakashuka coco beach wakijua wamefika ughaibuniMabaharia walikuwa wanapagawa sana na Linea Messina (Messina Line)....unamkuta mtu pale Posta ya zamani anaitazama meli mpaka anatoa machozi
Hahahaha, huu umekua ukumbi now, niliendaga hapo ktk harusi nikashangaa sanaHayo masinema ukipita hata huwezi kudhani yalikuwa yanabamba! Nilisahau Starlight Cinema
Hio kweli mkuu, meli imeondoka ikaenda kule mbele ikaweka nanga kama wiki hivi,jamaa wanaibuka chimbo usiku kucheki mataa ya Oysterbay wakajua washafika kwa Madiba wakajitosa kwenye maji wameogolea kufika ufukweni wanakutana na kibao 'USIOGELEE HAPA' hapo ndio wakajua wameibukia coco beach!Hahahaha, ndio ikaibuka story mabaharia wamezamia meli bandarini wakashuka coco beach wakijua wamefika ughaibuni
Hahahaha. Work done = Zero hapo ,nilikua nacheka sana kipindi kileHio kweli mkuu, meli imeondoka ikaenda kule mbele ikaweka nanga kama wiki hivi,jamaa wanaibuka chimbo usiku kucheki mataa ya Oysterbay wakajua washafika kwa Madiba wakajitosa kwenye maji wameogolea kufika ufukweni wanakutana na kibao 'USIOGELEE HAPA' hapo ndio wakajua wameibukia coco beach!
Vituo vya mafuta vingi na vilivyo maarufu vilikuwa vya kampuni ya Shell au Shell na BP.Yolanda.sabuni kodrai.kampuni ya mafuta Bp na caltex.Jumba la sinema shani.sapna.avalon.baiskeli ya swala.avon.phoenix.
Sent using Jamii Forums mobile app
Empress,Empire,Avalon,New chox,Cameo,Odeon,Drive-in cinema
Kati yenu wahenga hakuna mtu mwenye akili akili kidogo atusaidie kupata chanjo ya corona ?Naamini kila mmoja wetu anachukua tahadhari kujikinga na COVID 19.
Je mhenga mwenzangu unakumbuka dMt, Co cabs, MORETCO, TADECO, CORETCO?
Je unakumbuka magazeti gani ya zamani, ambayo ukiwa nje ya mikoani gazeti la leo unalisoma baada ya siku mbili?
Je unakumbuka majumba ya sinema na picha zake zilizohit?
Je unakumbuka kumbi gani za starehe zilizokuwa zinawaka moto weekend?
Je unakumbuka Taarifa ya Habari ya saa mbili usiku ilivokuwa muhimu kwa watu aidha kutumbuliwa au kuteuliwa?
Je unakumbuka jinsi vijana walivyokuwa mashujaa wanavyozamia meli kwenda nje?
Wadada wa zamani mnakumbuka mlivyokuwa mnachoma nywele ili kukonga nyoyo za wanaume?
Hebu tukumbushane, ya kale ni dhahabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sani lilikuwa likitoka shuleni hakusomeki mpk umuone madenge. Mtu akija nalo asubuhi ikifika saa sita mchana limeshachakaaUhuru,Mzalendo,Mfanyakazi,Daily News,Sunday News
New Africa Hotel 7th Floor, Pool Side Kilimanjaro Hotel Clouds DiscoMbowe,DDC (Kariakoo/Magomeni Kondoa),Imasco,Lang'ata,Mambo club,Rungwe oceanic,Silver sands,Msasani beach,La Dolce vita,Casanova
Tunasubiri Chanjo itoke ulikoanzia...kwani tulianzisha sisi.Ebu ngoja tufurahie ya zamani..Kati yenu wahenga hakuna mtu mwenye akili akili kidogo atusaidie kupata chanjo ya corona ?